Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Labda kwa kuwa hufatilii mech nyingine ndio maana ni rahis kusema hivyo

Umejihakikishia kabisa Leo hatushindi ,ni sababu hufatilii ,ARTETA kaibadilisha vipi timu , kafungwa mech 1 tu , na mwaka huu hatujafungwa ,

Kama unaamini nafas ya 4 mmeshaikatia garantii ngoja uone Mbelen ,

Kilichomkost Arteta adraw mech za katibun ni Ku implement tactic, suspension za wachezaji ,na injury , lkn bado Timu imeweza kucheza vzr ,

Baada ya Leo tutakuwa tumebakiza point 3 kwenda nafas ya 5 , then unajua kwa trend ya timu yako , tripu shamba tripu garage
Mbona hukuja kutoa mrejesho wa points 3 za jana?
 
Erling Haaland
Current team: B Dortmund
Current League: Bundesliga
Short on target 7
Goals scored 7
Shot accuracy 100%
136 minutes played
19 minutes per goal

Ciro Immobile
Current team: Lazio
Current League: Serie A
Short on target 44
Goals scored 25
Assists: 6
Shot accuracy 66%
Involved in 31 goals
1742 minutes played
70 minutes per goal
 
Erling Haaland
Current team: B Dortmund
Current League: Bundesliga
Game played: 3
Short on target 7
Goals scored 7
Shot accuracy 100%
136 minutes played
19 minutes per goal

Ciro Immobile
Current team: Lazio
Current League: Serie A
Game played: 21
Short on target 44
Goals scored 25
Assists: 6
Shot accuracy 66%
Involved in 31 goals
1742 minutes played
70 minutes per goal

Timo Werner
Current team: RB Leipzig
Current League: Bundesliga
Game played: 20
Short on target 45
Goals scored 20
Shot accuracy 66%
Assists: 6
Involved in 26 Goals
1695 minutes played
85 minutes per goal

NB: Mousa Dembele siwezi kuweka stats zake kwa sababu ziko chini goli 12 na dakiak 146 kwa kila goli, sot accuracy ni 53%
 
Kwa lile goli la Samatta EPL sasa imewakilishwa na nchi 117 tofauti Katika ufungaji wa magoli. Kwa maneno mengine, Tanzania inakuwa nchi ya 117 kumtoa mchezaji aliyefunga goli EPL tangu ianzishwe
 
Lampard has now told Chelsea chiefs he wants to offload the Spain international and bring in a new goalkeeper for next season,

Discussing his decision to leave Kepa out against Leicester, Lampard said: ‘It’s a decision I have not taken lightly. ‘They train together, they are are close and it’s one I thought I’d make for this game. I trust in Willy, he’s very professional.’
 
Lampard has now told Chelsea chiefs he wants to offload the Spain international and bring in a new goalkeeper for next season,

Discussing his decision to leave Kepa out against Leicester, Lampard said: ‘It’s a decision I have not taken lightly. ‘They train together, they are are close and it’s one I thought I’d make for this game. I trust in Willy, he’s very professional.’
Kepa aende tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku akisajiliwa huyo kunawatu watakuja watasema lampard anajaza waingereza

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi nilitakaga kukoment huko nyuma, Watanzania tuna fujo na ubaguzi sana. We angalia Twitter ya Aston Villa ilivyovamiwa na Watanzania wakiwakashfu wachezaji wa Aston Villa hasa Jack Grealish kwa kumnyima pasi Samatta. Hao wabongo wakaanza kuingiza na maneno ya racism hata kwenye kunyima pasi tu
 
Ishu sio utaifa bali ni ubora wa viwango vya wachezaji. Kuna wakati tofauti tofauti tulikuwa na waspain kibao:-

Torres
Azipiculeta
Fabrigas
Pedro
Costa
Alonso
Morata

Wakati huu tupo na waingereza, hizi ni zama zao watuonyeshe ubora, watupe mafanikio

Odoi
Mount
Tammy
Barkely
Tomori

Baadae zitakuja zama za mataifa mengine, usajili hauna mipaka, mchezaji bora wa taifa lolote atasajiliwa.

Kama timu tunachotaka ni mafanikio bila kujali utaifa au rangi bali tuu uwezo wa mchezaji.


Sent using Cash Money Wings
Asley Cole alikuwa mwingereza
John Terry alikuwa mwingereza
Frank Lampard naye hao malegend, wangebaguliwa Chelsea isingepata umaarifu ulionao leo. Kumbuka pia hii ni ligi yao na kuna sheria ya kuwasajili wachezaji wa kigeni na wa local Yaani waingereza. Tupende tusipende hii ni ligi yao sisi ni wazamiaji tu. Au kama tuna wivu turudie vya kwetu. Mbao FC, Ndana FC, Stendi united na timu kibao hazina washabiki
 
Kwani hawa waingereza wa sasa WAMEBAGULIWA?, sijaona mahali wamebaguliwa bali kunyooshewa kidole kwenye ubora wa viwango vyao.

Mchezaji yupi Chelsea ambaye hanyooshewi kidole pale anapocheza chini ya kiwango?

Willan huwa ananyooshewa kidole
Kante sometimes ananyooshewa kidole
Azipiculeta ananyooshewa kidole.

Odoi, Mount, Barkely, Tammy na wengine wakinyooshewa kidole WANABAGULIWA.

Kunyooshewa kidole/kusemwa ni jambo la kawaida kwamba umecheza chini ya kiwango next time jitume zaidi na zaidi kufikia ubora unaotakiwa.

Kwahiyo mchezaji akicheza ovyo tukae kimya tuu tusikosoe? Lampard mwenyewe baada ya mechi anatoa mapungufu ya wachezaji, na kuahidi ataendelea kuyafanyia kazi.

Hakuna mchezaji Chelsea anayebaguliwa na mashabiki hayo ni yako umeyasema wewe.

Sent using Cash Money Wings
Kunyooshewa kidole kama mchezaji ni jambo moja na kunyooshewa kidole kwa jina la utaifa ni jambo jingine. Kama mchezaji ana madhaifu tusiseme hawa waingereza, huo ndio ubaguzi mkubwa ninaousemea
 
Tatizo lako we jamaa ni mgumu kuelewa, hutakagi mtu apost anachoona yeye kwa mtazamo wake. Wanaomattack Grealish kuwa ni mbisafsi mi naona ni kweli, mana ni kweli yule jamaa ni mbinafsi,sema tunapokosea watanzania ni ile kukosoa kw kutukana tu basi.

Halafu hatusemi kuwa Chelsea kusiwe na waingereza, hata ikiwezekana wawe waingereza wote wawe wanaperform vizur, kinachoboa unakuta mchezaji hafanyi vizur kisa tu ni mwingereza atakaa dk. zote 90 hafanyiwi sub. Au angekua Kepa ni mwingereza sizani kama lampard hat angefikiria kumuuza na wala hata asingekaa akasugua benchi hat siku moja.
Hapo kwa grealish, ukweli kama ni mtu uliyekuwa unafatilia mechi za aston vila kuanzia wapo championship or msim huu tangu walivyopanda hizi kelele zote zisingekuwepo shida watu ndio kwanza wameanza kuangalia mechi za aston villa

Kwa sasa huv ukiiongelea aston villa lazima umzungumzie jack grealish ndio maana pochetino msim huu kabla haujaanza alimsaka sana sema akamkosa but ni bonge la mchezaji mwenye work rate kubwa tu wanapokuwepo uwanjan na usushangae msim ujao asiwepo pale aston villa huenda akaenda kwenye zile big 6

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lako we jamaa ni mgumu kuelewa, hutakagi mtu apost anachoona yeye kwa mtazamo wake. Wanaomattack Grealish kuwa ni mbisafsi mi naona ni kweli, mana ni kweli yule jamaa ni mbinafsi,sema tunapokosea watanzania ni ile kukosoa kw kutukana tu basi.

Halafu hatusemi kuwa Chelsea kusiwe na waingereza, hata ikiwezekana wawe waingereza wote wawe wanaperform vizur, kinachoboa unakuta mchezaji hafanyi vizur kisa tu ni mwingereza atakaa dk. zote 90 hafanyiwi sub. Au angekua Kepa ni mwingereza sizani kama lampard hat angefikiria kumuuza na wala hata asingekaa akasugua benchi hat siku moja.
Kepa ni mistake ngapi amefanya till now ujue maamuzi ya kumuuza kepa huwa sio rahisa yani mpaka mtu akianza kumpigisha bench kipa wake namba 1 ujue ameshindwa kuvumilia makosa tena

Refer to guardiola wakati amekuja nahis alimkuta hart ndio kipa wa city but akamsajil bravo ndan ya msim mmoja akaona makosa wanayoyafanya yanamcost msim uliofata akamsajili ederson na mambo yakaenda safi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kovacic anaonekana kutofurahishwa na kitendo cha Zidane kutompa nafasi wakati yupo Madrid lakini amesifia vile mentality ya Lampard na Zidane zinavyoendana jinsi kocha anavyotakiwa kuwa.

Kovacic: “Frank Lampard is “similar to Zidane in the sense of what a coach has to be. It was nice to play for Zidane, but I thought he could’ve given me the chance I deserved so that I could play in the third Champions League Final.
#CFC

Kovacic: “That was the main reason behind my disgruntlement, but that’s how football is and we parted ways with no hard feelings.
#CFC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mazungumzo ambayo alifanya Lampard na Kepa na Nasikia haikuishia vizuri. Tunasubiri kama kuna media wataweza kuileta public. Kuna kila dalili tukaenda na Willy Cabalero hadi msimu uishe au yule kipa wa mwenyeji wa 19 yo akapewa nafasi kwa baadhi ya mechi
Lampard had insisted that
"Kepa’s recent mistakes have hurt the team and warned the player he needed to get better"
“I think with Kepa he knows, he'll be honest that there have been some mistakes that have cost us goals,” Lampard said.

“It is the nature of it, so that needs to improve.”

However, according to The Sun, Kepa feels he is paying the price for the Blues’ poor performing defence.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom