Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,930
- 27,184
Hata kufunga anaweza angalia magoal yake mengi hategemei mpk apate clear chance anaweza akashoot akiwa mbali
Smtime na sis mashabiki vigeugeu wakat wakina tammy walipokuwa wanafanya vizuri wengi walisema fifa wanaweza kuongeza kifungo sinc madogo walikuwa wanafanya vizurofficial Chelsea Facebook page, mashabiki wana mind balaa baada ya Lampard kuconfirm ni kama tumeshafunga dirisha la usajili kwa 95%.
- wapo wanaomind bodi ya Chelsea tuliappeal transfer ban ya nini ili hali tumeshindwa kusajili hata mchezaji kwa mkopo
- wapo wanaommind Marina uongozi wake hauko serious Kupelekea club kuwa ya kawaida.
- wapo wanaommind Lampard kutosajili ili kuendelea kujificha kwenye kivuli cha usajili timu inapovurunda
Sent using Cash Money Wings
Mkuu kwenye wsl umekula 3Fainal lazima kina Miedeama wawapige
Nawaaminia sana hawa wadada wetu
Nahis fl atasafisha wote ambao hawana potential kule mbele atakae baki ni tammy na new no 9 atakaekuja willian na yeye mpaka sasa bodi bado inasita kumpa mkataba kule nyuma nahisi alonso na emerson wataondokaUnachosema ni kweli bwana Dully. Hata huyo SANCHO tunayemtaka sisi £120M, sawa hata akija Chelsea ana watu wenye viwango vizuri vya kucheza naye, au ataishia kuflop. Na yeye kama mchezaji lazima ajiulize hayo maswali.
Sent using Cash Money Wings
Huwezi kununua wachezaji wote kwa mpigo FL hana Dira uenda neyeye kwenye dirisha kubwa anaweza kuondolewa hiyo team ikishindwa top 4. Kwasababu hamna haja ya kurudisha £150 kwa tajiriNahis fl atasafisha wote ambao hawana potential kule mbele atakae baki ni tammy na new no 9 atakaekuja willian na yeye mpaka sasa bodi bado inasita kumpa mkataba kule nyuma nahisi alonso na emerson wataondoka
Pedro na yeye ataondoka
Nategemea summer tutakuwa active sana kwenye transfer
Nahisi hii ni last chance board
Sent using Jamii Forums mobile app
Sahihi,Smtime na sis mashabiki vigeugeu wakat wakina tammy walipokuwa wanafanya vizuri wengi walisema fifa wanaweza kuongeza kifungo sinc madogo walikuwa wanafanya vizur
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora utd wamepata bull streaker ,hili jamaa linajua kuliko lacazete wako litamzidi magoli na assist hata likicheza michezo saba tuNyumbu washachukua Ighalo na nyinyi mchukueni hata Nchimbi basi maana muda unayoyoma
Sent using Jamii Forums mobile app




Mkuu ukifikiri kidogo utaona yafuatayo:
1. Chelsea iliappeal ili iweze kujistrengthen kwenye hii January Transfer window. Lakini kwa sababu tunataka wachezaji hatuwezi kuleta kila MTU aliyeko sokoni. Tuliwasajiri Bakayoko, Emerson, Drinkwater, Barkley na Giroud kwa pupa, hivi wametusaidia nini mpaka leo?
Sasa angalia wachezaji tunaowataka timu zao bado zinashiriki UEFA CL hivi unafikiri RB Leibzig watamuuza T. Wenner? Leicester watamuuza Chilwel wakati they are battling for top 4? Ukienda kumuulizia Dembele unaambiwa bei mara 3 ya thamani yake, hivi nani mpumbavu atafanya hiyo biashara?
Bora kusubiri wakati muafaka ufike ili tupate watu sahihi kuliko kuwanunua akina Cavan, Mertens ambao wameshajizeekea.
2. Lampard ameimprove team sana tena sana. With the transfer made by Man U, Arsenal na Tottenham nani aliamini tutakuwa top six bila usajiri tena katika wakati huo mgumu kukampoteza Hazard?
Ni kipofu tu hawezi kuliona hilo.
Sasa hivi ukigusa wachezaji wafuatao thamani yao ni mara mbili au tatu zaidi ya ilivyo kuwa kabla ya Lampard kuja Chelsea; Tammy, Mount, Tomori, James R. Wakati huo huo tunashuhudia kiwango halisi cha Willian, Kovacic, Joginho, Azpillicuta. Hivi wawezaje kumu-underate Lampard katika mazingira haya!?
Unasema wachezaji wanamkataa Lampard, hivi ni nani amemkataa Lampard mpaka sasa kati ya wachezaji ambao Chelsea imewaaproach?
Tuwe wapole maamuzi sahihi yanayofanyika ni kwa ajili ya kupata kilicho bora huko mbeleni
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaaaaaa jifariji....sasa mliappeal ile ban ili muuze au mnunue?Bora utd wamepata bull streaker ,hili jamaa linajua kuliko lacazete wako litamzidi magoli na assist hata likicheza michezo saba tu
kama vile kichwa chako ndio chelsea haya mambo ya kukadilia bila hakikaNahis fl atasafisha wote ambao hawana potential kule mbele atakae baki ni tammy na new no 9 atakaekuja willian na yeye mpaka sasa bodi bado inasita kumpa mkataba kule nyuma nahisi alonso na emerson wataondoka
Pedro na yeye ataondoka
Nategemea summer tutakuwa active sana kwenye transfer
Nahisi hii ni last chance board
Sent using Jamii Forums mobile app
aweke morall sio vibur kwa hao madogo kujiona masuperstar
Huwezi kununua wachezaji wote kwa mpigo FL hana Dira uenda neyeye kwenye dirisha kubwa anaweza kuondolewa hiyo team ikishindwa top 4. Kwasababu hamna haja ya kurudisha £150 kwa tajiri
Sent using Jamii Forums mobile app