Tu be honest,, naona Lampard sio mtu mwenye malengo makubwa kwa msimu huu..
He is there just kuufuatisha mkataba wake wakutoshusha timu daraja tuu..
Hivi chelsea kwanini walienda ku"appeal ile ban,, it means tulikua tunahitaji kusajili. Sasa dirisha limefunguliwa, Lampard akapewa 150M na still ameshindwa kupata target yeyote.. Of course yeye ni low profile coach na nahisi ni moja ya sababu ya wachezaji kugoma kuja chelsea lakini bado tungeweza kutumia title ya team kusajili..
Ninavyoona mimi Lampard hataki kusajili,, na anatafuta huruma ya mashabiki tu,, najua soon atasema hakupata watu sahihi ndo maana hajafanya usajili.. Hii itamsaidia akipata matokeo mabovu atakuja na sababu zile zile, hajasajili & academy player hawana uzoefu bado.. We will learn itakua ni our motto..
All and all n tukiwa tunaamini maybe tunaeza fanya usajili mkubwa summer...
Najiuliza ikitokea at the end of season tumeshinda kupata nafasi itakayotufnya tushiriki UEFA CHAMPIONS LEAGUE na hali ya timu yetu kwa ujumla kuna high profile player yeyote ataekubali kuja Chelsea ..????
Sent using
Jamii Forums mobile app