Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

hiki kikundi chetu cha wahuni na wavuta bangi kilichoamua kucheza mpira mpaka muda huu haijapata mhuni wa kufanana naye.?
 
Tu be honest,, naona Lampard sio mtu mwenye malengo makubwa kwa msimu huu..

He is there just kuufuatisha mkataba wake wakutoshusha timu daraja tuu..

Hivi chelsea kwanini walienda ku"appeal ile ban,, it means tulikua tunahitaji kusajili. Sasa dirisha limefunguliwa, Lampard akapewa 150M na still ameshindwa kupata target yeyote.. Of course yeye ni low profile coach na nahisi ni moja ya sababu ya wachezaji kugoma kuja chelsea lakini bado tungeweza kutumia title ya team kusajili..

Ninavyoona mimi Lampard hataki kusajili,, na anatafuta huruma ya mashabiki tu,, najua soon atasema hakupata watu sahihi ndo maana hajafanya usajili.. Hii itamsaidia akipata matokeo mabovu atakuja na sababu zile zile, hajasajili & academy player hawana uzoefu bado.. We will learn itakua ni our motto..

All and all n tukiwa tunaamini maybe tunaeza fanya usajili mkubwa summer...
Najiuliza ikitokea at the end of season tumeshinda kupata nafasi itakayotufnya tushiriki UEFA CHAMPIONS LEAGUE na hali ya timu yetu kwa ujumla kuna high profile player yeyote ataekubali kuja Chelsea ..????

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukifikiri kidogo utaona yafuatayo:
1. Chelsea iliappeal ili iweze kujistrengthen kwenye hii January Transfer window. Lakini kwa sababu tunataka wachezaji hatuwezi kuleta kila MTU aliyeko sokoni. Tuliwasajiri Bakayoko, Emerson, Drinkwater, Barkley na Giroud kwa pupa, hivi wametusaidia nini mpaka leo?

Sasa angalia wachezaji tunaowataka timu zao bado zinashiriki UEFA CL hivi unafikiri RB Leibzig watamuuza T. Wenner? Leicester watamuuza Chilwel wakati they are battling for top 4? Ukienda kumuulizia Dembele unaambiwa bei mara 3 ya thamani yake, hivi nani mpumbavu atafanya hiyo biashara?

Bora kusubiri wakati muafaka ufike ili tupate watu sahihi kuliko kuwanunua akina Cavan, Mertens ambao wameshajizeekea.

2. Lampard ameimprove team sana tena sana. With the transfer made by Man U, Arsenal na Tottenham nani aliamini tutakuwa top six bila usajiri tena katika wakati huo mgumu kukampoteza Hazard?

Ni kipofu tu hawezi kuliona hilo.
Sasa hivi ukigusa wachezaji wafuatao thamani yao ni mara mbili au tatu zaidi ya ilivyo kuwa kabla ya Lampard kuja Chelsea; Tammy, Mount, Tomori, James R. Wakati huo huo tunashuhudia kiwango halisi cha Willian, Kovacic, Joginho, Azpillicuta. Hivi wawezaje kumu-underate Lampard katika mazingira haya!?

Unasema wachezaji wanamkataa Lampard, hivi ni nani amemkataa Lampard mpaka sasa kati ya wachezaji ambao Chelsea imewaaproach?

Tuwe wapole maamuzi sahihi yanayofanyika ni kwa ajili ya kupata kilicho bora huko mbeleni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tar 1 dirisha litafungwa. Pia tar moja hiyo tunacheza na leicester city. Hiyo match tukipigwa labda jamaa atakumbuka kusajili.

Hivi mtu kama Eriksen sijaona kama kulikuwa na juhudi zozote za kumpata hadi kaenda intermilan.

Sent using Jamii Forums mobile app
Juhudi zinafanyika kimya kimya na hazitangazwi mkuu. Alafu Tottenham inaweza kumuuza mchezaji Chelsea kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tar 1 dirisha litafungwa. Pia tar moja hiyo tunacheza na leicester city. Hiyo match tukipigwa labda jamaa atakumbuka kusajili.

Hivi mtu kama Eriksen sijaona kama kulikuwa na juhudi zozote za kumpata hadi kaenda intermilan.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ericksen inaonekana hakua tayari kuendelea kucheza England.

Kwa kiwango ambacho amekionesha kwa muda wa mwaka mzima sasa.
Shukuruni hamjamsajiri.
Mngerudi hapa kuilaumu board.

Sent using simu mbovu
 
Lampard Press Conference on January transfer window
The window is 95% shut for us. The answer is probably no for the players you would ask about.
 
Hello Chelsea Fans
Kwema huku
Mbona jukwaa limetulia kama kinyozi anafanya kazi yake
Cavani bado
Zaha je?
Dries Mertens
Si wangemrudisha hata Drogba na uzee ule bado angetusaidia!
Usinichafulie siku yangu huyo Zaha Kama unampenda Sana msajili kwenye team yako na si Chelsea.Zaha Hana kiwango Cha kuchezea Chelsea.
 
Kinachotucost timu zetu zimepoteza mvuto kutokana na kupoteza dira,

Mchezaji kwenda chelsea,Arsenal na United kwa sasa ni kucheza kamari tu,wanaogopa futuhi isije kuwazeesha....

We angalia liverpool kwa sasa Mbappe mwenyewe anaitamani anajua kucheza liver kwa sasa Baln d O nje nje na hiyo ni ndoto ya wachezaji wengi wakubwa......

Haalaand sio mjinga kuzikataa timu kama Manchester utd na kwenda BVB anajua kule anaongeza thamani akitoka pale anaenda katika timu iliyo kwenye peak kwa muda huo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom