Hahahaaaaaaaa jifariji....sasa mliappeal ile ban ili muuze au mnunue?
Aiseeeeh sijawahi kuona watu vigeugeu kama watu wa hiki kikundi chenu cha madalali ....
Mlipopigwa ban mlikuja kutuambia kuwa FL anajenga timu kupitia vijana wa academy na mkaomba ban iongezwe ili mzidi kuintroduce wachezaji nyota.
Mkafikia hatua ya kumuona Keppa ni zaidi Allison na Tomori na Zouma deluxe ni zaidi ya VVD,Abraham ni zaidi ya PEA so haina haja ya kusajiri.
Mlipofunguliwa ban mkaja na mitetesi ya kina Coulibary,Sancho n.k
Leo timu haihasajiri mnalaumu na kumtupia lawama FL jamani jamani dah....
Mshajisahau hahahahaaaa,muwage na KUMBUKUMBU.
HAYA SASA JISHIKE MIKONO KICHWANI KISHA SEMA BYE BYE BIG 4.
Sent using
Jamii Forums mobile app