42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,835
- 8,874
Aiseeee ametuokoa bhana... Lile shuti la Vardy hali ingekuwa tete
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabapara awe anaanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabapara awe anaanza
James kucheza beki ni dharau kwa EPL
Ivi kwanin lampard hampendi huyi mfaransa,,
inatakiwa Giroud acheze, experience pamoja na teamwork anaiweza sana huyu mfaransa
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaaMason Mount ni Lingard mwenye nguvu.
Sent using Cash Money Wings


Mmepigwa cha pili, kazi kupeleka ujuaji wenu wa kijinga kwenye majukwaa ya wengine
Kaka yangu wa damu Mr Deo usiamini mi ni Nabii sababu nilitabiri timu yangu itafungwa leo na Leicester City kwa kukataa nishuhudie mwene
Sent using Jamii Forums mobile app