Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

mashabiki tuliomba tufungiliwe ban, lakini kocha alikuwa na plan zake.

Kama lampard angekuwa na plan ya kusajili wachezaji kama sancho, werner, Dembele au Chiliwel tungewanunua halafu tuwaache kwenye club zao waendelee kucheza kwa mkopo mpaka mwisho wa msimu, kama tulivyofanya kwa Pulisic.

Kinachonipa wasiwasi Abromovich atatoa pesa nyingine kwenye dirisha kubwa au hizi alizotoa January £150M ataziacha kwanza zitumike?

Sent using Cash Money Wings
Kama January katoa pesa hiyo basi dirisha kubwa lazima iongezeke. Anaweza ongeza hata 100 au 150 iwe £300. Ila kwa jinsi nionavyo nahisi Lampard hataki kufanya sajili kubwa kubwa au hataki kufanya sajili kiholela.

Academy graduates pekee bila experienced player hawatufikishi popote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ofa jamani hiyo amepewa Lampard kwa Krzysztof Piatek (24yo)

Chelsea wameshatoa bid ya £27m

AC Milan have received an offer of £27m from Chelsea for striker Krzysztof Piatek, one source claims, with reports claiming Spurs are also in talks over a deal.

Washabiki wengi hawamtaki kwa sababu kaflop
 
Frank Lampard has reiterated the need for Chelsea to secure signings during the final week of the transfer window in order to boost their bid for a top-four finish.
 
Wasipopatikana je? Wakaamua kwenda timu nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Chelsea, Arsenal, Man U zimefanana kwa kutokuwa na mkakati wa kuunda timu. Na ndio maana wachezaji wazuri wenye kutaka kuboresha taaluma zao hawako tayari kuja kwenye hizi timu tatu
Sasa hivi wanataka Liverpool na Man city kwa England au Barcelona na Real Madrid hata Atiletico Madrid wamezizidi hizi timu tatu kwa kupendwa na wachezaji wa Cadre hiyo. Serie A sasa ni Juve na Inter
Cavani kakataa Man U na likely ataikataa ofa ya Chelsea
Timo kuna uwezekano akaikataa ofa ya Chelsea kama Liverpool na City wakimtaka
Tutaambulia tu Dembele na akina Zaha
 
Chelsea, Arsenal, Man U zimefanana kwa kutokuwa na mkakati wa kuunda timu. Na ndio maana wachezaji wazuri wenye kutaka kuboresha taaluma zao hawako tayari kuja kwenye hizi timu tatu
Sasa hivi wanataka Liverpool na Man city kwa England au Barcelona na Real Madrid hata Atiletico Madrid wamezizidi hizi timu tatu kwa kupendwa na wachezaji wa Cadre hiyo. Serie A sasa ni Juve na Inter
Cavani kakataa Man U na likely ataikataa ofa ya Chelsea
Timo kuna uwezekano akaikataa ofa ya Chelsea kama Liverpool na City wakimtaka
Tutaambulia tu Dembele na akina Zaha
Mvuto katika soko la usajili haupo tena kwa wachezaji imefika kipindi hadi Cavani babu wa miaka 33 anatukataa sisi ana itaka Atletico Madrid. Kwa jinsi inavyoonekana pesa inaweza isiwe kila kitu ila career ya mchezaji ndio kitu uhimu kwake.

Kama Lampard ataendelea kuwepo tunaweza fanikiwa katika hili kwa maana ya kujenga timu ya ushindani EPL na Europe kwa ujumla.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
YAANI HATA WABAILI WA LONDON WAMEIZIDI CHELSEA KWA PAYROLL. MAKUBWA HAYA
bpl-1920.png
 
Nasikia Atletico Madrid hawataweza kumchukua Cavani kwa sababu za sheria/limitation ya mishahara ya wachezaji kwa sheria za kwao huko Laliga. Kwa hiyo basi njia nyeupe kwa Chelsea
 
Blues plan Ajax & Leicester raids
Chelsea are looking to piece together summer raids for Hakim Ziyech and Ben Chilwell, according to ESPN .
While the Blues are keen to take a talented playmaker and England international left-back from Ajax and Leicester respectively, they appear set to miss out on Napoli forward Dries Mertens.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom