Naona ya mwaka huu imezidi inconsistence,,
Ni ubaya tu wa man u, tottenham na arsenal ziko hovyo zaidi ndo maana unasema tuko vizuri kuliko mwaka jana...
Kwa sababu spurs ya mwaka jana huwezi ifananisha na hii ya sasa hata arsenal ya sasa ni mbovu kuliko ya msimu uliopita..
Let me remind you,, mwaka jana we played final in carabao cup na pia fainali ya Ueropa na kuchukua ndoo..
Ila kwa sasa jinsi tunavyocheza sioni dalili hata ya kombe moja,, we play like kids..
Haieleweki tunataka nin kwenye mechi,, tukiongoza goli 1 tuu tuna"relax utadhani tunaongoza 5-0...
Lampard asajili tu , vinginevyo tutaumia sana hapo mbeleni...
Sent using
Jamii Forums mobile app