Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hull city lineup
chexi.348.jpg
 
kumbe hadi UK hawana nguvu za kiume, mana kwenye screen ya matangazo ya uwanjani nimeona neno viagra.
 
Jinsi ya kuuliza matokeo sasa hivi ni kama ifuatavyo
1 Liverpool kashinda ngapi ?
2. Man city katokaje ?
3. Man u kapigwa ngapi ?
4. Chelsea vipi huko ?
5. Arsenal kapona leo ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sawa ndugu
  1. Liverpool -consistency ya kushinda
  2. Man city -inconsistency
  3. Chelsea -inconsistency
  4. Man u -consistency ya kushindwa
  5. Arsenal -consistency ya kushindwa
 
Wachezaji wapo kibao team inasubiri nini tutakapofungwa 7 na buyern ndio watajua umuhimu wa kusajiri
 
Wachezaji wapo kibao team inasubiri nini tutakapofungwa 7 na buyern ndio watajua umuhimu wa kusajiri
Mkuu ni kweli Kama tunaangaika kufunga ka timu kama Hull city sijui kwa Buyern itakua je bila usajili mpya.......Mungu atusaidie tu na chelsea yetu tuvuke 16 bora kwa maujiza yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ni kweli Kama tunaangaika kufunga ka timu kama Hull city sijui kwa Buyern itakua je bila usajili mpya.......Mungu atusaidie tu na chelsea yetu tuvuke 16 bora kwa maujiza yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye mpira miujuza ni nadra sana, Hapo tujiandae kisaikolojia tu. Abraham ni mfungaji wetu bora lakini hadi sasa magoli yake yametokana na timu ndogo. Hata Mbwana Samatta kakutana na Liverpool mara mbili kamdungua zote. Tungempata Samatta angekuwa bora kuliko Abraham
 
Kwenye mpira miujuza ni nadra sana, Hapo tujiandae kisaikolojia tu. Abraham ni mfungaji wetu bora lakini hadi sasa magoli yake yametokana na timu ndogo. Hata Mbwana Samatta kakutana na Liverpool mara mbili kamdungua zote. Tungempata Samatta angekuwa bora kuliko Abraham
Kweli Abrahamu wetu ni mfungaji wa kawaida sana tena anafungamagoli ya kawaida mno kwa nafasi anazo pata na kuharibu ingekua mfungaji kama Diego costa tungekua na magoli zaidi ya 20, ila kwa Samatta bado ebu ajaribu kwanza EPL kwa msimu hu ndo to aanze kumpima vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
RB Leipzig wanamtaka Andreas
Chelsea tunamtaka Timo Werner
Si tubadilishane tu na kahela juu?
 
Hicho unachokisema LAMPARD anakitaka?

Mimi naweza kuhisi kidogo plan za Lampard. Lampard anataka atengeneze wachezaji wake.

Anataka kumtengeneza ODOI, MOUNT, TAMMY, TOMORI, na academic players wengine waje kuwa mastar.

Lampard anataka kufanya kama Pochetino alivyowatengeneza KANE, DELE ALI na wengine.

Sidhani LAMAPRD atasajili STRIKER mkali wa kumuweka TAMMY nje. MOUNT atacheza mara nyingi over Pulisic, namuona ODOI anaenda kuwa replacement ya kudumu ya willan.

Lampard mara kibao amekuwa akisema anaamini wachezaji alionao sasa wakijituma zaidi kwenye mazoezi, wakajifunza jinsi ya kusahihisha makosa yao anaamini niwachezaji wazuri sana.

Na lampard ndicho anachokifanya sasa kwa wachezaji. HARD WORKING, HARD WORKING, HARD WORKING + CORRECTING MISTAKES/ERRORS.

Lakini ukweli utabaki pale pale kwamba kikosi chetu kitaendelea kukosa CREATIVITY endapo tutaendelea kuwa na wachezaji hawa hawa bila maingizo mapya.

Sent using Cash Money Wings
Sawa katika hao wachezaji hata akika nao miaka 10. hawezi kupatamo 'extra ordinary player' wa kuamuwa matokeo match ikiwa 50 50 labda awapeleke kwa mkopo kwenye team za ligi nyingine wapate exposure na uzoefu zaidi ya hilo, Abramovic atamondoa amempa misimu miwili tu.........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kingine najaribu kumuangalia usoni KANTE, mbali na maumivu anayoyapata ya majeruhi yaliomuandama, pia namuona KANTE hayupo comfortable kabisa kwa sasa.

Kama vile JUHUDI/KUJITUMA, HARI/MORALE imepungua. Hatutajua nini kinamsibu KANTE ila hayupo NORMAL.

Sent using Cash Money Wings
Kante hawezi kuwa na furaha akiwona team haina wachezaji wazoefu wanao mzidi ili ajifinze mengine nikama senior player peke yake anae baba timu, mwenye mataji mengi likiwemo na fifa world cup, ataongea na wakina Mounti Abraham Odoi nini? Nikama iko bored sana wasipo nunua wachezaji wapya utasikia anaondoka kwasababu mpila wake utashuka zaidi na zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom