Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Msimu wa kwanza wa Antonio Conte Kipa alikuwa nani acha kujisahaulisha, msimu wa pili tuna beba FA Kipa alikuwa nan, msimu wa Sarri tunabeba Europa kipa alikuwa nani ..

Mpka sasa Kepa ana makombe matatu na fainal saba..

Ana EPL, FA na EUROPA.

Ana FA vs Arsenal
Ana Community shield vs Arsenal
Ana FA vs Man united
Ana Community shield vs Man city
Ana Carabao vs Man city
Ana EUROPA Vs Arsenal
Ana Supercup Vs Liverpool

Sasa uyo Leno tupa kulee

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaota huku unatembea
 
chelsea forget about top4 this season, hiyo naafasi ni ya Arsenal
Mimi na lazimika kusema samahani kwa washabiki wenzangu wa chelsea kama hujapendezwa na kauli yangu hi ....Chelsea ni team kubwa kwa FL hana plan B namikakati ya kuchukua kombe lolote tutafute coach mzoefu msishangae tutamalizia nafasi ya 10 au 12 epl, FL asipo rudi on drawing table achukue mafunzo na notes umpya hi team ni zaidi yake itamshida wapinzani wetu wote walianza vibaya arsenal Man u Tottn.... sasa wameshatukaribia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila samahani kaka.

Unaufahamu mkataba wa Lampard aliosign Chelsea kama kocha?

Moja ya makubaliano kwenye mkataba wake:-

1. Ahakikishe team isishuke daraja.
2. Atapata bonus ya €1M endapo atahakikisha timu inamaliza top 4 ili tuendelee kushiriki UEFA Champions.

Kwahiyo mpaka sasa LAMPARD anautendea haki mkataba wake. Akimaliza nje ya top 4 anakosa bonus.

Timu ikishuka daraja atafukuzwa.

Kuchukua kombe lolote msimu huu halipo kwenye mkataba wake, kuendelea kuwa kwenye mashindano ya FA, UEFA ni juhudi zake binafsi.

Sent using Cash Money Wings
Sawa ila tunahitaji mbinu mpya zakimkakati, haiwezekani team ku dominant mpila kwa 70% ila ikashindwa kupata maximum result....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arsenal jana walikuwa na bahati tena sana
Kuteleza kwa Kante goli likaingiua
Abrahamu kaumia akashindwa kumzuia Bellerin asifunge
Barkley header Leno kaokoa
Kwenye penalty box wameshika Zaidi ya mara 2 nadhani, refa na VAR wakamezea
Batshuayi akaokoa badala ya kufunga
Hii mechi jana ilitakiwa Chelsea ishinde 7-0
Wewe nae unazi umekujaa sana, mpira ungekuwa hivyo unavyosema wewe kila timu ingekuwa ya kwanza kwenye msimamo wa ligi.Kwa hiyo mchezaji wa Chelsea akikosa goli ni bahati kwa Arsenal?
Vipi na Arsenal nao waanze kusema "Chelsea alikuwa na bahati sana, kama Mustafi asingepiga boko, Jorginho asingefunga goli na Luiz asingepata red," hapo vipi?
 
Sasa mkuu kama uwezo wa timu umeishia hapo tufanyaje ndugu yangu, zaidi ya kusajili wachezaji wapya walete NGUVU, HARI, UWEZO, UBUNIFU NA NGUVU MPYA.

Sent using Cash Money Wings
Kwa dirisha hili kumpata mchezaj mzuri ni ngumu labdamchezaj awe katika malumbano na tim tofauti na hapo mchezaj aliyetulia mzuri huwezi mpata kwa dirisha hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unachanganya mambo. Kepa amesajiliwa wakati Sarri anaingia. Kombe pekee alilonalo Kepa ni Europa League.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kepa kasajiliwa August 2018 kwa dharura ili kumreplace Thibaut Courtois aliyehamia kwa nguvu Real Madrid. Kwa hiyo Kepa alianza na Sarri na sio Antonio Conte. Kepa hakuwepo kwenye timu iliyobeba EPL ya 2017
 
Msimu wa kwanza wa Antonio Conte Kipa alikuwa nani acha kujisahaulisha, msimu wa pili tuna beba FA Kipa alikuwa nan, msimu wa Sarri tunabeba Europa kipa alikuwa nani ..

Mpka sasa Kepa ana makombe matatu na fainal saba..

Ana EPL, FA na EUROPA.

Ana FA vs Arsenal
Ana Community shield vs Arsenal
Ana FA vs Man united
Ana Community shield vs Man city
Ana Carabao vs Man city
Ana EUROPA Vs Arsenal
Ana Supercup Vs Liverpool

Sasa uyo Leno tupa kulee

Sent using Jamii Forums mobile app
Kepa kasajiliwa August 2018 kwa dharura ili kumreplace Thibaut Courtois aliyehamia kwa nguvu Real Madrid. Kwa hiyo Kepa alianza na Sarri na sio Antonio Conte. Kepa hakuwepo kwenye timu iliyobeba EPL ya 2017
 
Sasa mkuu kama uwezo wa timu umeishia hapo tufanyaje ndugu yangu, zaidi ya kusajili wachezaji wapya walete NGUVU, HARI, UWEZO, UBUNIFU NA NGUVU MPYA.

Sent using Cash Money Wings
Lazima kusajili wachezaji wenye majina pamoja na uzoefu ni muhimu sanaa ili timu iwenanguvu za kupindua matokeo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa ila tunahitaji mbinu mpya zakimkakati, haiwezekani team ku dominant mpila kwa 70% ila ikashindwa kupata maximum result....

Sent using Jamii Forums mobile app
Kudominate 70% na kupata shots on target 8 na zaidi ni habari njema. Tatizo haliko kwa kocha, liko kwa quality ya washambuliaji tulionao. Kosa la Lampard ni kutochangamkia usajili wa wachezaji wazuri PERIOD
 
Wewe nae unazi umekujaa sana, mpira ungekuwa hivyo unavyosema wewe kila timu ingekuwa ya kwanza kwenye msimamo wa ligi.Kwa hiyo mchezaji wa Chelsea akikosa goli ni bahati kwa Arsenal?
Vipi na Arsenal nao waanze kusema "Chelsea alikuwa na bahati sana, kama Mustafi asingepiga boko, Jorginho asingefunga goli na Luiz asingepata red," hapo vipi?
Luiz kutolewa ni habari njema kwenu, mimi nashangaa badala ya kufurahia mnasikitika. Luiz ni uchochoro na jana alitolewa na uchochoro ukatoka na ndio maana tulipata tabu ya kufunga.
 
Kudominate 70% na kupata shots on target 8 na zaidi ni habari njema. Tatizo haliko kwa kocha, liko kwa quality ya washambuliaji tulionao. Kosa la Lampard ni kutochangamkia usajili wa wachezaji wazuri PERIOD
Mechi ipi mlidominate kwa asilimia sabini mkuu? Hii ya Jana au
 
Chelsea launch Cavani loan move
According to The Times, Chelsea have offered to sign Edinson Cavani on loan from Paris Saint-Germain until the end of the season.
The report claims Chelsea are willing to pay a loan fee of £5 million and would cover the striker’s £360,000-a-week wages.
 
Mechi ipi mlidominate kwa asilimia sabini mkuu? Hii ya Jana au
Ndugu hiyo ni general overview ya jinsi Chelsea wanacheza na kushindwa kupata mabao. Mechi karibia zote tulizofungwa au kutoa draw tunadomainate kati ya 60-70% labda nikuwekee kwa staili hiyo
 
Save percentage (%) msimu huu:
-
•Alisson- 86%
•Henderson- 75%
•Guaita,Fabiański- 74%
•Schmeichel, Leno, Dúbravka- 73%
•Gazzaniga- 72%
•Ryan- 71%
•Ramsdale- 70%
•De Gea,McCarthy- 69%
•Ederson,Foster- 68%
•Rui Patrício, Heaton, Krul- 66%
•Pope- 65%
•Pickford- 64%
•Kepa- 56%
FB_IMG_1579718115514.jpeg
 
Mbwana Samatta ana wastani wa kupiga shots on target 1.8 per game.
-
Kepa Aziza balaga ana wastani wa kufungwa goli 1 kila baada ya dakika 68.
.
Maana yake nini? Maana yake Samatta akipiga mashuti mawili ndani ya dakika 90 ana uhakika wa kupata goli dhidi yetu Chelsea
.
#KARIBUSAMATTA
FB_IMG_1579718479894.jpeg
 
Hiyo picha hapo ni katika mchezo wa Argentina’s Torneo Federal A (Ligi Daraja la tatu nchini Argentina). Kati ya Club Deportivo Juventud Unida and Club Atlético y Social Defensores de Belgrano ambapo Golikipa "MBWA" alifanya goal line saves 5 na kuisaidia team yake ya Defensors kupata cleansheet baada ya team yake kuibuka na ushindi wa magoli matatu kwa bila(3-0) dhidi ya Juventud Unida.
-
Hiyo picha hapo nyingine ni ya golikipa wa team yetu ya Chelsea katika mchezo wa English Premier league (ligi kuu uingereza). Golikipa ambaye hakufanya save yoyote ile kwenye mchezo na kupelekea team yetu Chelsea kubamizwa goli moja kwa bila(1-0) dhidi ya Newcastle. Tusisahau tuliuziwa €80 million na ndiye golikipa ghali kwa sasa duniani.
.
UMEGUNDUA NINI MWANA CHELSEA MWENZANGU?
FB_IMG_1579718569518.jpeg
FB_IMG_1579718574024.jpeg
 
Huyu KEPA ARIZABALAGA Tumepigwa Za Uso !!
KEPA ndie kipa mwenye asilimia mbovu zaid za uokoaji (saves).. kuliko makipa wote wa EPL ana asilimia - 56%
Na ni kipa wa 127 kat ya makipa 132 kwa ulaya kweny ligi 7 bora mwa asilimia za uokoaji..
Alafu ndie KIPA GHALI ZAIDI DUNIANI (£72 mil)
Jamn nan anakubaliana na mm kuwa kepa n za uso..??

Sema za usoooo
FB_IMG_1579649124235.jpeg
 
Mpira wa kwenye makaratasi. Kwani kepa hana cleansheet hata moja?
Mbwana Samatta ana wastani wa kupiga shots on target 1.8 per game.
-
Kepa Aziza balaga ana wastani wa kufungwa goli 1 kila baada ya dakika 68.
.
Maana yake nini? Maana yake Samatta akipiga mashuti mawili ndani ya dakika 90 ana uhakika wa kupata goli dhidi yetu Chelsea
.
#KARIBUSAMATTAView attachment 1331200

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*EPL WHATSAPP GROUP*

Maguire: *Added Samatta*

*Zouma* ; karibu Mjuba
Samatta: Anko Zouma
Zouma: Anko tena??
Jones: Typing
*Samatta* : Mzee wa kuchoma unatype nini??
Jones: This message was deleted
*David Luiz* : Tz pande zipi Mnyabi
Samatta: Mbagala mzee
Aubameyang; Ozaaa Samagoaaaal, karibu mzee,
Samatta:
*Tammy A:* Una namba ya NIDA??
Samatta: Tammy foleni kubwa
Wanyama: Wa homeee
Samatta: Niambie Mzee wa totoz za Buza
Wanyama: Left
Samatta:
Bruno: Joined using this Group Invite Link
*Pogba* ; Samatta anacheza yopeee,
Samatta: Labile Mzee wa mipasi mirefuuu.
Virgil: Left
Lovren: Left
Becker: Left
Klopp; Left
*Samatta* : Typing
Maguire: Added Virgil
Virgil: Maguire, acha sifa
Maguire:
Torreira:
*Rashford* : Tz kuna Madam, anaitwa Madam Pundile yupo goms unamfahamu??
Samatta: Goms kubwa mzee
Rashford;
Neves:
Mountinho:
Ndidi; Oi Nabii Tito yupo??
Samatta; Yeah, punguzeni maswali yaajabu wazee,
Jorginho:
Maguire: Removed Sterling
Rodrigo: Admin vipi mbona hatuambizani??
Rojo: Left
Young; Goodbye Members, on the way to Intermilan
SAMATTA: Msalimie Lukaku
*Young* ; Left
Zouma; oi naingia tizi nina Newcastle baadae
De Gea; anavyoaga utadhani bonge la beki,
*Arrizabalaga* : De save acha unafiki
Rui Patricio; unafiki tena??
Raul Jemenez: kueni basi
Wesley: Samatta
Samatta: Ugua pole bro
Maddison; Karibu Genkman
Samatta; Madders
Fred: Oi Mazeee, kesho Liverkuku naogopa kinoma
Longstaff; kisa??
Fred; Dimba lile niko mwenyewe
Matic;
Martial; Liverkuku mbona wanaleft hadi baba yao
Milner; jiheshimu Martial
Smalling; na sisi tulio kwa mkopo tunaruhusiwa kuchangia??
Dan Ceballos:
Ndombele; Niggers, Samatta, ndo nani aisee
Samatta: Baba lao
*KDB* : Added Solskjaer
Solskjaer; Oi wamasai bado wanafuga.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom