Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hakuna watu wa kucheza kaunta attack chelsea kwa sasa. Labda tumnunue zaha maana ndio kidogo anaweza kudribble umbali mrefu na ana kasi.

Si unaona kama man u wana Daniel James?
Hivi wazee kwanini tusirudi kwenye utamaduni wetu wa zamani wa mpira wa KUPAKI BUS zile falsafa za Morinyo zilitupa mafanikio makubwa sana.

Hii falsafa ya kupiga pasi nyingi, kuchezea sana mpira na kufunguka naona kama inatutesa sana.

Sent using Cash Money Wings

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wazee kwanini tusirudi kwenye utamaduni wetu wa zamani wa mpira wa KUPAKI BUS zile falsafa za Morinyo zilitupa mafanikio makubwa sana.

Hii falsafa ya kupiga pasi nyingi, kuchezea sana mpira na kufunguka naona kama inatutesa sana.

Sent using Cash Money Wings
Hii yote atukijiandaa na mpira wa kupiga pass
Hatuna watu wa kuendana na hiyo falsafa ukimtoa jorginho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arsenal jana walikuwa na bahati tena sana
Kuteleza kwa Kante goli likaingiua
Abrahamu kaumia akashindwa kumzuia Bellerin asifunge
Barkley header Leno kaokoa
Kwenye penalty box wameshika Zaidi ya mara 2 nadhani, refa na VAR wakamezea
Batshuayi akaokoa badala ya kufunga
Hii mechi jana ilitakiwa Chelsea ishinde 7-0
 
Ukisema Lampard anagembelea Nyota ya Sarri sidhani kama ni sawa. Kama Sarri asingekuwa na Hazard hali ingekuwa tete sana.

Kipindi cha Sarri chelsea ilikuwa inapiga pasi nyingi ila zilikuwa ni back pass. Yaani ilikuwa mnaweza mkapiga pass nyingi Ila kufika golini mtihani. Sasa hivi hata golini tunafika ila kufunga ndio majanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Niwakumbushe tu kuwa Chelsea ilikuwa na 5 au 6 kipindi kama hiki mwaka jana, ni low form ya Arsenal na Spuirs ndiyo ilitupush hadi nafasi ya 3. Chelsea ya Mwaka huu ni bora kuliko ile ya mwaka jana. Tunasumbuliwa na inconsistency ambayo ipo kwenye timu zote ukiondoa Liverpool
Usiwaone hawa Man U, Arsenal, Spurs, Leicester city, Man City, na hao wengine nao wana mafua zao zinawasumbua. So uanaweza kuta table standing isibadilike sana hadi msimu unaisha
 
Kepa kaingia Apo August 2018 izo EPL kabebea ndotoni au

Sent using Jamii Forums mobile app
Msimu wa kwanza wa Antonio Conte Kipa alikuwa nani acha kujisahaulisha, msimu wa pili tuna beba FA Kipa alikuwa nan, msimu wa Sarri tunabeba Europa kipa alikuwa nani ..

Mpka sasa Kepa ana makombe matatu na fainal saba..

Ana EPL, FA na EUROPA.

Ana FA vs Arsenal
Ana Community shield vs Arsenal
Ana FA vs Man united
Ana Community shield vs Man city
Ana Carabao vs Man city
Ana EUROPA Vs Arsenal
Ana Supercup Vs Liverpool

Sasa uyo Leno tupa kulee

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom