Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Aliendelea kucheza kama kawaida mpk alipopata majeruhi. Kocha hajajua tatizo lake mpk sasa. tuendelee tu kupgwa mpk atakapojua tatizo lake.
We sijui hata unaangalia wapi mpira wako.

Baada ya ile game na valencia ambayo Barkley aling'ang'ania penalty. game iliyofuata tulicheza na Liver Barkley hakuwemo.

Baada ya hapo ikaja game ya Carabao ambayo wachezaji wengi walipumzishwa Barkley akacheza.

Game iliyofuata ndiyo game aliyokuja kupata majeruhi.

Jamaa unaonekana unamchukia sana Barkley, Mbna gemu ya weekend iliyopita tuliyoshinda 3 bila barkley aliperform vizuri sana au hukuangalia?

Haya unasema Lampard anaendekeza waingereza. Willian, Kante, Joginho, Rudiger, Azplicueta, Christesen/Zouma, Pulisic hao wote ni waingereza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ningekuwa ni wewe ningeacha kubishana naye, anawachukia waingereza wote akiwemo kocha utafikiri hiyo ligi ni ya wabongo
 
Awe striker winger au attacking mid ya kueleweka. Yote sawa...

Ila hata hivo chelsea uchoyo umekuwa mwingi...

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakiweza kusajili mmoja kati ya namba 1 au 2 itatosha kutuweka top 4 na msimu ujao watuletee aliyebaki na midfield aina ya fabregas wa kuja kuwachalenge akina Kovacic na RLC akipona
 
Mimi ningekuwa ni wewe ningeacha kubishana naye, anawachukia waingereza wote akiwemo kocha utafikiri hiyo ligi ni ya wabongo
Jamaa namshangaa kweli hiv mbona arsenal ambao kocha wao ni muispain,anawachezesha wale wakina bukayo saka,maitland neiles,nelson n willock mbona hawasemi kocha anawabagua wachezaj wa kingereza

Coz hao wt ni wachezaj wa kingereza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku ndo zinaisha hivo. Yaani tusiposajili tumekwisha aiseeee.
Chelsea sasa hivi tatizo kubwa lipo kuanzia katikati mpaka kule mbele. Kunakosekana muunganiko kutengeneza nafasi na kufunga.

Embu tuangalie hawa wachezaji Kante, Barkely, Kovacic, willan, mount, pulisic, odoi, tammy.

KANTE:- anachezeshwa kama kiungo mshambuliaji tujiulize ana assist ngapi na magoli mangapi msimu huu?

KOVACIC:- Tujiulize ana assist ngapi na magoal mangapi?

MOUNT:- nadhani ni zaidi ya mwezi hajafunga

PULISIC:- Zaidi ya mwezi hajafunga

WILLAN:- Wote tunafahamu uwezo wake wa kufunga kwa msimu huwa hafungi zaidi ya magoli 12

ODOI & BARLEY:- Wamerudi majeruhi bado hawajachangamka.

Kiufupi hawa wachezaji tulionao kwa sasa tutastruggle sana. Kutengeneza nafasi na kufunga.

Tuingie sokoni tutasajili ile combination ya FABRIGAS + HAZARD + COSTA.

Tupate ATTACKING MIDFIELDER creative angalau alete muunganiko wa mashambulizi, tumpate Hazard mwingine anayeweza kuamua na kulazimisha matokeo.

Na pale mbele tukimpata finisher mzuri team inarudi kwenye ubora wake.

Dirisha kubwa tunaweza malizia kuboresha ukuta wetu pale nyuma.

Cha muhimu Lampard asajili kimkakati, kila mchezaji anayesajiliwa anaboresha na kuwa suluhisho kwa nafasi aliyosajiliwa.

Sent using Cash Money Wings

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ningekuwa ni wewe ningeacha kubishana naye, anawachukia waingereza wote akiwemo kocha utafikiri hiyo ligi ni ya wabongo
Mi we huwa sikuelewagi, mana kuna kipindi ulinifukuza eti nishabikie chelsea kisa namkosoa kocha ....... hapa kila mtu anaruhusiwa kutoa maoni yake, sasa ukitaka kila mtu acomment unachikitaka kutakua hamna hata ladha y jukwaa hili. Ipo siku kila mtu humu atasema "LAMPARD OUT"
 
Chelsea sasa hivi tatizo kubwa lipo kuanzia katikati mpaka kule mbele. Kunakosekana muunganiko kutengeneza nafasi na kufunga.

Embu tuangalie hawa wachezaji Kante, Barkely, Kovacic, willan, mount, pulisic, odoi, tammy.

KANTE:- anachezeshwa kama kiungo mshambuliaji tujiulize ana assist ngapi na magoli mangapi msimu huu?

KOVACIC:- Tujiulize ana assist ngapi na magoal mangapi?

MOUNT:- nadhani ni zaidi ya mwezi hajafunga

PULISIC:- Zaidi ya mwezi hajafunga

WILLAN:- Wote tunafahamu uwezo wake wa kufunga kwa msimu huwa hafungi zaidi ya magoli 12

ODOI & BARLEY:- Wamerudi majeruhi bado hawajachangamka.

Kiufupi hawa wachezaji tulionao kwa sasa tutastruggle sana. Kutengeneza nafasi na kufunga.

Tuingie sokoni tutasajili ile combination ya FABRIGAS + HAZARD + COSTA.

Tupate ATTACKING MIDFIELDER creative angalau alete muunganiko wa mashambulizi, tumpate Hazard mwingine anayeweza kuamua na kulazimisha matokeo.

Na pale mbele tukimpata finisher mzuri team inarudi kwenye ubora wake.

Dirisha kubwa tunaweza malizia kuboresha ukuta wetu pale nyuma.

Cha muhimu Lampard asajili kimkakati, kila mchezaji anayesajiliwa anaboresha na kuwa suluhisho kwa nafasi aliyosajiliwa.

Sent using Cash Money Wings
Tatizo ni kwamba hatujui hata kama huyo mmoja tutamsajili januari. Ile jeuri ya pesa ya Chelsea ya kumasajili mchezaji tunayemtaka wakati wowote haipo tena. Tuna mascout wenye makengeza ambao wanawaona akina Zaha tu, akina Halaand au Samatta mwenye uwezo mkubwa wa kufunga kuliko hata Tammy hawamuoni
 
Jiandaeni kulia maana kwa hizi game zilivyopangana lazima mtoke meno
Screenshot_20200120-164608.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mawazo, maoni, hoja zinakosolewa kwa hoja. Sio kukashifu, kutukana, kukoseshwa haki ya kuchangia jukwaa hili.

Nilishwahi kuandika kule jukwaa la Arsenal kwamba mashabiki wa timu flani siku zote hawawezi kuwa na mawazo yanayofanana.

Nikatoa sababu kwamba kwenye timu kila shabiki kuna jambo huwa linamvutia na ushabiki wake ndio umeangukia hapo, mwisho wa siku ukionganisha mivuto yote hiyo lengo kuu linakuwa kwa mafanikio ya timu na kubeba makombe.

Nikatoa mfano kuna shabiki wa Chelsea anayeshabikia mfumo na mbinu za kocha.
Shabiki anapenda sana kocha awe na mbinu bora za kushinda mechi na mbinu hizi ziwe zinabadilika kuendana na mechi bila kujali aina ya wachezaji atakaowapanga kwenye kikosi, mwisho wa siku team ipate matokeo mazuri

Kuna mashabiki wanaoshabikia wachezaji kwenye timu. Siku akichungulia kikosi akamuona mchezaji wake flani, hajapangwa, shabiki huyu anakasirika, anaponda mchezaji aliyechukua nafasi anamponda kocha hajui kupanga kikosi n.k

Kuna mashabiki wa Hazard naamini mpaka leo bado wanaumia mioyoni mwao hahahahaha

Kwahiyo mawazo, maoni ya mashabiki yanatolewa kwa kuegemea shabiki ana interest gani kwenye ushabiki wake.

Lakini mwisho wa siku wote wanaitakia timu mafanikio.

Sent using Cash Money Wings
Umenena mkuu, sasa mtu ukikosoa anakwambia eti utuachie chels yetu kisa tu umekosoa. Abromo mwenyewe hana haki y kumfukuza shabiki sembuse sisi tupo huku mwisho wa dunia na wala maoni yetu hata hayamfikii huyo kocha kiazi Lampard........
 
Jamaa namshangaa kweli hiv mbona arsenal ambao kocha wao ni muispain,anawachezesha wale wakina bukayo saka,maitland neiles,nelson n willock mbona hawasemi kocha anawabagua wachezaj wa kingereza

Coz hao wt ni wachezaj wa kingereza

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi ndio nakushangaa wewe! unataka wote humu tuwe na wazo moja,Hatuwezi kwnye group la watu woote hawa wote tukawa na wazo moja, naposema kuhusu waingereza simaanishi wasipangwe " mimi ni nani nisitake wapangwe" kwanza ligi ni yao. ila namaanisha wanapoboronga watolewe! Sio akiboronga Mount kisa ni muingereza basi sawa ila mwingine akiboronga apgwe bench.
 
Mashabiki ni kikundi cha watu wanaofanana kwa malengo
Wanashabikia timu moja
Wana malengo timu ichukue ubingwa au vikombe au angalau kupata mafanikio fulani
Ushabiki sio kikundi cha wahuni wa kutukana au kutukanana, kukosoa pasipo na hoja nk
Tunatakiwa tufanane ila tukiwa na mawazo tofauti kwenye lengo moja
Bila sababu ukianza kushambulia personality aidha ya mchezaji, wachezaji, kocha au uongozi lazima upingwe na ushabiki wako uwekwe kwenye WALAKINI.
Maoni yako yakiwa offpoint utashambuliwa na majority ya washabiki ili ujirekebishe kama kweli wewe ni shabiki halali
Humu kwenye nyuzi hizi wengi sio mashabiki na ndio hao wanatukana, wanakosoa hata bila kuangalia mechi, na ukiwafuatilia ni hivi hivi wanafanya kwenye kila uzi wenye mashabiki wengi.
Ili tukutambue kuwa wewe ni shabiki wa Chelsea angalau tufanane kimalengo tutofautiane kisera, kimalengo na sio kuja hapa na ushabiki wa kukosoa bila hoja, hatutakubaliana nawe hata kama una uhuru wa kutoa maoni.
Hata tukikuambia wewe sio shabiki ni uhuru wa maoni pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom