Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mashabiki ni kikundi cha watu wanaofanana kwa malengo
Wanashabikia timu moja
Wana malengo timu ichukue ubingwa au vikombe au angalau kupata mafanikio fulani
Ushabiki sio kikundi cha wahuni wa kutukana au kutukanana, kukosoa pasipo na hoja nk
Tunatakiwa tufanane ila tukiwa na mawazo tofauti kwenye lengo moja
Bila sababu ukianza kushambulia personality aidha ya mchezaji, wachezaji, kocha au uongozi lazima upingwe na ushabiki wako uwekwe kwenye WALAKINI.
Maoni yako yakiwa offpoint utashambuliwa na majority ya washabiki ili ujirekebishe kama kweli wewe ni shabiki halali
Humu kwenye nyuzi hizi wengi sio mashabiki na ndio hao wanatukana, wanakosoa hata bila kuangalia mechi, na ukiwafuatilia ni hivi hivi wanafanya kwenye kila uzi wenye mashabiki wengi.
Ili tukutambue kuwa wewe ni shabiki wa Chelsea angalau tufanane kimalengo tutofautiane kisera, kimalengo na sio kuja hapa na ushabiki wa kukosoa bila hoja, hatutakubaliana nawe hata kama una uhuru wa kutoa maoni.
Hata tukikuambia wewe sio shabiki ni uhuru wa maoni pia
We ni nani kwenye huu uzi, acha upuuzi! kwa hiyo shabiki aruhusiwi kukosoa, ni ruhusa kucomment chochote na huwezi kunizuia Qma ww. Kukosoa hainiondolei kuwa mimi ni shabiki wa chelsea.
 
Aston Villa have completed the signing of striker Mbwana Samatta from Genk on a four-and-a-half-year contract.
"I'm really pleased we have managed to bring Mbwana to the club," manager Dean Smith told the club's website.
"He has scored goals throughout his career and I'm looking forward to working with him."

Source: SkySports

John Terry anasemaje?
 
Hapo mtavuna point ngapi wakuu????maana Samatta nae hawezi kuwaacha salama....
george_ambangile_20200121_105652.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mawazo, maoni, hoja zinakosolewa kwa hoja. Sio kukashifu, kutukana, kukoseshwa haki ya kuchangia jukwaa hili.

Nilishwahi kuandika kule jukwaa la Arsenal kwamba mashabiki wa timu flani siku zote hawawezi kuwa na mawazo yanayofanana.

Nikatoa sababu kwamba kwenye timu kila shabiki kuna jambo huwa linamvutia na ushabiki wake ndio umeangukia hapo, mwisho wa siku ukionganisha mivuto yote hiyo lengo kuu linakuwa kwa mafanikio ya timu na kubeba makombe.

Nikatoa mfano kuna shabiki wa Chelsea anayeshabikia mfumo na mbinu za kocha.
Shabiki anapenda sana kocha awe na mbinu bora za kushinda mechi na mbinu hizi ziwe zinabadilika kuendana na mechi bila kujali aina ya wachezaji atakaowapanga kwenye kikosi, mwisho wa siku team ipate matokeo mazuri

Kuna mashabiki wanaoshabikia wachezaji kwenye timu. Siku akichungulia kikosi akamuona mchezaji wake flani, hajapangwa, shabiki huyu anakasirika, anaponda mchezaji aliyechukua nafasi anamponda kocha hajui kupanga kikosi n.k

Kuna mashabiki wa Hazard naamini mpaka leo bado wanaumia mioyoni mwao hahahahaha

Kwahiyo mawazo, maoni ya mashabiki yanatolewa kwa kuegemea shabiki ana interest gani kwenye ushabiki wake.

Lakini mwisho wa siku wote wanaitakia timu mafanikio.

Sent using Cash Money Wings
HEHEHE LEO NDO LEO NAONA MSHAANZA MSHAVURUGANA LEO TUTALIPIZA KISASI

Hapo ulipomalizia ndipo nimepakubali

Shabiki wa timu lazima aitakie timu yake mafanikio,na sio kuiombea majanga....ingawa tunapishana katika categories mbalimbali za upenzi...huyu atapenda wachezaji,mwingine atapenda falsafa ya timu,mwingine mifumo ya kocha,wengine wamependa jina la timu na wengine rangi ya jezi...... lakini lengo ni 1 tu......
Sasa ukimuona shabiki anatukana wachezaji,kocha n.k huku pia akiombea na kutabiri timu ifungwe na utabiri ukikamilika anafurahi huyo ni wa kuangaliwa sana....

UHURU WA KUCHANGIA UWEPO LAKINI KUMBUKA HAKUNA UHURU USIO NA KIKOMO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kila uwezekano Lampard akamchukua Cavani, na kumwacha Werner aende Liverpool
Lampard opinion on Edson Cavani

"He's a great player, I played against him and I always loved his mentality and attitude, and obviously his goalscoring record speaks for itself," Lampard said. "I'm not absolutely aware of what the situation is, so we'll see. He's an experienced player, but so are many other players out there."

Sikiliza mashabiki akitoa maoni yake
it will be a great MISTAKE OF THE CENTURY if Lampard is looking for a quick fix in buying CAVANI, then he could use Giroud. if TIMO Werner is available give that 60millions that Liverpool is offering or give 61millions and get the player, pay 70 to 90 millions and bring Kuolibaly if he is available. I DONT UNDERSTAND THE HOLD UP, OHHH, as usual, WAIT AND KEEP ON waiting until other teams steps in and offer more money then snatch the player in front of our eyes. COME ON CHELSEA WE CAN DO BETTER. our team need an upgrade before this February Champions league qualifications matches.
 
Mazungumzo kati ya Claudio Makelele na Agent wa Cavani yamekwama kwa sababu Cavani anataka mshahara mkubwa
Cavani ameagiza mazungumzo na Man United yafunguliwe upya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom