Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Halafu jamaa wamekaa kim ya usajili, Roman auze tu timu ili tupate mwingine kama wa Mancity atakayejituma kutuletea wachezaji wa kuamua matokeo. Tunahitaji striker na winga wa kuamua matokeo wakati wa mechi ngumu
Odoi na Mason kule mbele wanafaa sana ila wawe sub mpaka wakomae
 
Poleni wana CHELSEA wenzangu.

Rudger + Keppa wasilaumiwe kabisa. Kama team imemiliki mpira dk 90, zimepigwa corner 10 hakuna goals tutegemee nini zaidi ya kufungwa. Mechi Ingetakiwa iishe 4-1, 3-1, 2-1.

Matatizo ya team yetu yanaonekana waziwazi, quality ya mchezaji mmoja mmoja tunafahamu. Siwezi kulisemea hilo last time nilisema nikaambiwa naongea bila kutumia akili.

Hakuna marefu yasiokuwa na ncha. Muda ni mwalimu mzuri.

Let's go blues.

Sent using Cash Money Wings
Kiongozi, Newcastle walijiandaa kujilinda kama ilivyo timu ndogo. Nidhamu ilikuwa ya hali ya juu. Mechi kama hizi timu ikikataa kufungwa inatakiwa na sisi kujiadhari
Lampard ameliongelea hili na wachezaji wetu hasa mabeki na kipa hawataki kujirekebisha
Timu ndogo zinajilinda kipindi cha kwanza wasiruhusu magoli halafu kipindi cha pili mwishoni wanatafutaka counter attack na kuforce set pieces ili wapate goli, na ndivyo Newcastle walivyofanya. Wamelazimisha kona na mabeki wetu hawakujua hilo mwisho wanakuja kuruhusu goli kijinga. Msipotaka mimi nitawalaumu mabeki na kipa kwa sababu hakuna wa kuwalaumu, Kocha hataweza ataongea tu ksiiasa na kidiplomasia ili asivunje miorale ya timu
Labda Rudiger alichoka na kushindwa kuruka ila Kipa alitakiwa kuuwahi huo mpira kama alivyokuwa anafanya mwenzake wa Newcastle. Kipa gani anasubiri mpira mpaka umfikie ndi atudanganye anadaka??
 
Erling Braut Håland mechi yake ya kwanza Dotmund kaingia sub ya dk ya 56 kaweka goli 3 na aliuzwa bei ya kutupa ya €22.5m, sijui hawa scout wa Chelsea huwa wana makengeza au?
 
Timu yetu ina homa ya kupanda na kushuka, jumanne tutafanga washika bunduki
Hapana ukweli nikwamba hapo tulipo ni miujiza tu tunahitaji 'ball makers' kwenye team kuna haja ya kununua wachezaji wenye uweze na uzoefu wajuu ili hao wakina Mount Abraham Odoi prisic wajifunze la sivyo tutatandikwa sanaa kama Arsenal

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mechi ya Dotmund ilikuwa watoke droo 2-2 alipoingia Haland, akapiga Hattrick na kuiwezesha Dotmund kushinda 5-2
Tunahitaji wachezaji hasa washambuliaji wa kuamua matokeo hapa Chelsea,
 
Huyu jamaa kaelezea kama nilivyoelezea huko nyuma. Chelsea inakosa wafungaji wa kumpa tuff Abrahama
Abraham kufunga 13
Willian angefunga 10
Odoi angala 7
Mount 8
Pulisic 8
Kante 8
Tungekuwa na magoli 54
Tofauti na hizi figure za sasa
Abraham kufunga 13
Willian angefunga 4
Odoi angala 1
Mount 5
Pulisic 5
Kante 3
Jumla magoli 31 badala ya 54
Sacho kwa sasa ana goli 10 assists 10, huku kwetu mawinga ana 4 au 5 tu na wengine ndio kabisa hawana magoli

Chelsea isajili haraka washambuliaji wenye kufikisha figure zinazotakiwa
 
Kama uliangalia game ya Brighton basi utajua kwann Kovacic yupo benchi...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kocha hatuna, hata aje messi kw ubaguzi wa kocha na nilishasema hapa top4 tutaisikia kwnye bomba kama kocha hataacha ubaguzi. Kuna vitu tunashindwa kuelewa tupo top4 sababu man u, Tot na Arsenal hawapo vizuri ila si sababu kocha ni mzuri hapana.
 
Swali ni kwamba Lampard anataka kusajili au hana mpango wa kusajili anaendelea kujenga team kwa msingi wa academic players?

Mi sioni kama Lampard atasajili kwa siku 11 zilizobaki dirisha lifungwe

Sent using Cash Money Wings
POLE MTANI KWA KIPIGO CHA JANA MPIRA UNACHEZA WEWE ILA KIPIGO UNAAMBULIA WEWE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
game ya brighton uliangalia?
Kocha hatuna, hata aje messi kw ubaguzi wa kocha na nilishasema hapa top4 tutaisikia kwnye bomba kama kocha hataacha ubaguzi. Kuna vitu tunashindwa kuelewa tupo top4 sababu man u, Tot na Arsenal hawapo vizuri ila si sababu kocha ni mzuri hapana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huenda Kovacic ndip mchezaji aliyezingua kwenye hiyo game kuliko mchezaji yoyote yule. Na mpaka goal likarudi dakika za mwisho....
Hakuna game y chelsea inayonipita, ila mi sio mzuri wa kuweka kumbukumbu, kw hiyo game moja ndio linafanya mchezaji anakuwa mbaya, game ngapi abraham anaboronga? anakosa magoli halafu anacheka cheka tu.........mesi ni game zote anafanya vizuri?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imagine jana tungeshinda game yetu leo tungekuwa wapi?..Kiukweli mentality ya wachezaji wa Chelsea kwenye mechi zinazoweza kutuweka mbali na wapinzani wetu wanaotufuatia ni mbovu sana.. Sijui hii hali itaendelea hadi lini, ni msimu wa tatu mfulululizo sasa kwa team yetu kuingia top 4 inakuwa kama kuchukua ubingwa. We all miss the Old Chelsea, ila fresh tu tuliipenda wenyewe acha ituue.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_7484.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom