Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mhh we umepigwa miti kivyako unaanza kuhusisha na wasiohusika.... Pambana na hali yako mkuu
Kuna umuhimu wa mashabiki wa arsenal kutuambia wanawezaje kuvumilia maana unajua kwanini wako namba kumi
 
Upo sahihi kabisa. Kuwabebesha lawama Kepa na Rudiger siyo sahihi kabisa. Unless kama walipelekea tushindwe kuscore...
Poleni wana CHELSEA wenzangu.

Rudger + Keppa wasilaumiwe kabisa. Kama team imemiliki mpira dk 90, zimepigwa corner 10 hakuna goals tutegemee nini zaidi ya kufungwa. Mechi Ingetakiwa iishe 4-1, 3-1, 2-1.

Matatizo ya team yetu yanaonekana waziwazi, quality ya mchezaji mmoja mmoja tunafahamu. Siwezi kulisemea hilo last time nilisema nikaambiwa naongea bila kutumia akili.

Hakuna marefu yasiokuwa na ncha. Muda ni mwalimu mzuri.

Let's go blues.

Sent using Cash Money Wings

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Just
IMG_20200118_211524_066.JPG
 
Kepa ni wa 127 kati ya 135 ya goli kipa wa ulaya.

kweli hapa sio kupigwa tuu yani tumetupiwa mzigo
 
Kulaumu mabeki na kipa wakati tumewaste chances nyingi siyo sawa kabisa.

Hao ni wachezaji na ni kweli wanaweza kuwa wamekosea, ni mambo yanatokea katika mchezo. Lakini je hao wawili ndio walipelekea tushindwe kuscore?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi sijauanalyse mpira wote, kwanza niuna hasira ya kupoteza mechi kama hii. zote ni fursa, kuscore na kuzuia, hao wa kuscore walishakosea na mabeki nao waruhusu goli kijinga namna hiyo tena kwenye sekunde ya 40 na ushenzi ya dakika ya mwisho, haikubaliki. Huo mpira Kipa angeanticipate na kuupangua usitue kichwani mwa Rudiger au mfungaji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom