Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Manina hakuna kipa chelsea . Pamoja na mapungufu ya kikosi ila huyu baradhuli Alizabaraga anatuchomesha mara nyingi . Sasa hebu kweli kama umeangalia Ile match . Usenge gani kufanya sasa pale ? .Mpira wa kutaka ye anatandaza mamikono yake kama fala
Kipa ghali zaidi duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Very right brother kuitakia timu mafanikio ndio priority no 1.

Kuna muda kocha na wachezaji wanakera lakini hizi moments huwa na za kipindi kifupi. Mfano Arsenal na EMERY ilifikia hatua mashabiki wanaombea Arsenal ifungwe EMERY afukuzwe kazi ili wapate kocha bora zaidi wa kuwapa ushindi kwa mechi zilizobaki.

Na ikifika moment kama hiyo ya kuombea timu yako ifungwe ni point ambayo mashabiki wote wanaongea lugha moja kwa lengo la kuinusuru team isiendelee kuvurunda.



Sent using Cash Money Wings
Ndio mana tokea mwanzo nilisema tuache kulumbana, ipo siku tutakua kwnye direction moja. Kw sasa tujifiche tu kwenye sababu ya kutosajili, tukishasajili tutajificha kuwa wachezaji hawajitumi, baada ya hapo ndio tutaanza kuongea lugha moja.
 
#CHEARS mechi ya leo ni ya 200 kwenye mashindano yote.

Chelsea ameshinda 65 na Arsenal ameshinda 77.
 
IMG_20200121_223632.jpeg
IMG_20200121_223651.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kila uwezekano Lampard akamchukua Cavani, na kumwacha Werner aende Liverpool
Lampard opinion on Edson Cavani

"He's a great player, I played against him and I always loved his mentality and attitude, and obviously his goalscoring record speaks for itself," Lampard said. "I'm not absolutely aware of what the situation is, so we'll see. He's an experienced player, but so are many other players out there."

Sikiliza mashabiki akitoa maoni yake
it will be a great MISTAKE OF THE CENTURY if Lampard is looking for a quick fix in buying CAVANI, then he could use Giroud. if TIMO Werner is available give that 60millions that Liverpool is offering or give 61millions and get the player, pay 70 to 90 millions and bring Kuolibaly if he is available. I DONT UNDERSTAND THE HOLD UP, OHHH, as usual, WAIT AND KEEP ON waiting until other teams steps in and offer more money then snatch the player in front of our eyes. COME ON CHELSEA WE CAN DO BETTER. our team need an upgrade before this February Champions league qualifications matches.
Sisi mashabik tunataman kweli tim isajil wachezaj wazuri wakat huu
Ukweli ni kumpata mchezaj kama werner or koulibaly dirisha hili dogo ni ngumu sana

Wachezaj tunaoweza kuwapata mda huu ni wale ambao wako kweny situation za kuondoka kwenye tim tofaut na hivyo mchezaj ambae amesettle kumpata mda huu ni ngumu

Hapo ni mawil either asajil kwa short term halafu mwez wa 7 ndio sasa asajil wazuri wanaoeleweka tukisema tukomae na werner or dembele tutakesha

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom