Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Timu ya ushindi ni ile ile
0_Newcastle-vs-ChelseaPNG.png
 
Mpaka ifike kiangazi, wacheza mastaa wa Chelsea watakuwa ni waingereza mbele Abraham
Kushoto Odoi, Kulia Sancho, Katikati RLC, Mount na Barkley na Nyuma wako Reece James, Tomori na Ben Chilwell. Ni Rudiger na KEPA tu ndio watakuwa sio waingereza

Wale wenye chuki watafute klabu za kushabikia
Lipuli ipo haina washabiki wengi au Kagera Sugar, Stendi United, Mbao FC na timu kibao za kibongo
 
Naelewa sana Alonso ni majeruhi, ila kabla y game la spars alikua hachezi, sabab kadrop kiwango. ndio angempa motivation kama anaewapa waingereza wake!. Umeshaona hat Giroud akipewa chance, Abraham ndio huyo anaruka ruka tu kwnye chance kumi anapata moja ila fresh tu kwa kuwa ni muingereza.
Huyo abraham unaesema anaruka ruka leo hii magoal yake ndio yanatufanya tuwe top 4 same na kina hao wakina mount
Huyo giroud sikuanzia kwa babu sari alikuwepo alifanya kipo cha maana kwenye league ukitoa ueropa ambapo hata wakina odoi waliperform vizuri tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chelsea ya mourinho wakat anakuja mpaka kwa carlo ancelloti
Kulikuwa na waingereza wa 4 first team
Terry,A.cole,FL8 n joe cole
Vipi hapo hamkuwa mnaona hao waingereza na hao wameplay part kubwa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alonso alikuwa hachezi sababu hafiti kwenye 4 3 3... hiyo ndo sababu... Ila anafiti kwenye 3 4 2 1 ....
Naelewa sana Alonso ni majeruhi, ila kabla y game la spars alikua hachezi, sabab kadrop kiwango. ndio angempa motivation kama anaewapa waingereza wake!. Umeshaona hat Giroud akipewa chance, Abraham ndio huyo anaruka ruka tu kwnye chance kumi anapata moja ila fresh tu kwa kuwa ni muingereza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Game ya Leo ni ngumu Sana ili tushinde ningependa kikosi kiwe hiki
1.Kepa
2.James
3.Alzipicueta
4.Rudiger
5.Zouma
6.Jorginho
7.Willian
8.Kovacic
9.Abraham
10.Barkley
11.Odoi
 
Kwa hyo kwako barkley ni bora kuliko mount ???

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la mount sio mzuri kwa kupandisha team kwa hii game inamuitaji Barkley zaidi ya mount cos Newcastle wanacheza Sana defensive so inaitaji mtu atakayeifungua defense yao na Barkley ni perfect for that.Barkley ni mzuri kama akicheza free number ten huku umewaweka watu wawili wa kukaba jorginho na kovacic kante yupo injury ndomaana akiwa kwenye national team ana kuwa Bora cos ana kuwa juu ya dier na Henderson lakini pia ni first eleven ya team ya England japo Chelsea anakaa benchi.Mzee baba unamuona Barkley sio mzuri kutokana na matumizi ya makocha lakini Barkley ni mchezaji mzuri Sana.
 
Team yetu inajua kubadilika ,ni mirotation kwa rotation kila la kheri blues tumuamini FL yeye anaamini katika rotation bado anawaangalia wachezaji wote
 
Bado 0-0 ila kwa uzoefu wa team yetu ikishindwa kupata goli kipindi cha kwanza gemu inaisha sare au tunafungwa moja bila,labda leo wabadilike
 
Yaani tumepata 6 corners lakini zote zimeenda bure.... Usishangae Newcastle wakipata kona moja wanatutungua na biashara inaishia hapohapo....

Tunashindwa kuscore kwa mashuti ya mbali na set pieces... Hili ni tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuache kujidanganya aiseee... Hili dirisha dogo ni muhimu sana kusajili striker au attacking midfilder ya kueleweka. Otherwise tutakuwa tunaupiga mwingi then mwisho wa siku tunaishia kwenye maumivu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatuna foward na kiungo mshambuliaji kuendelea kufikiria mabeki tu haisaidii ,pengo la hazard halijazibika kabisa ,mechi kama hizi alikuwa anawafungua mapema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom