Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 24,791
- 44,521
Ndiyo kapewa 150
Lakin mimi naona bora tu amurudishie boss maana kakosa wachezaji
Sawa sawa na wewe unaenda mnadani ili ukanunue jinsi lakin baada ya kufika mnadan unakuta hakuna jeans kwahiyo ni bora tu urudi na pesa yako ukijifanya mjuaji hiyo pesa unaweza ishia kuinunua muwa
Sent using Jamii Forums mobile app