Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 24,025
- 42,344
Na ndio hao wameiwezesha Chelsea kuwepo top 4 msimu huu kinyume na prediction za pundits wengi tena maarufu kuipa Chelsea chance nje ya top 6Kati ya wachezaji wenye work rate kubwa msimu huu ni Mount. Tatizo ni kwamba mnajadili mpira kwa hisia badala ya kutumia akili
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mwalimu wako wa chekechea alivyokuambia unaweza kuandika kama yule au huyu alikuwa mlevi?kazi ya mwalimu ni kutia moyo na kupata kilichobora ndani ya mtu ,kwa FL anayoimani anaweza kupata kilicho bora kwa Barkley kuliko Kante na Jorgihno tumuache aki fail tutamuhukumu kwa kutotumia vyema ofisi yake .Huu ni ulevi uliotukuka.... huwezi ukawa mpumbavu hivi halafu ukawa kocha. Tupo hapa Lampard hatokaa akashinda kikombe chochote akiwa na huo upuuzi kichwani kwake.
Sio swala la Beira wala mahaba, Mount ni key player for Chelsea hata tukisajili wazoefu. Kocha anachotakiwa kumfanyia ni mazoezi ya stamina tu!, attitude na mentality nzuri na pia skills za mchezaji bora anazoBeira wewe ndio una mahaba mount bado. Sana
Hahahaaa! Wangetumia hiyo formation ya 4-3-3 angeingia fabinho badala ya kanteUEFA wabadilisha formation ya timu yao ya mwaka ili kumuondoa Ngolo Kante na kumuweka Cristiano Ronaldo
Timu ya kwanza ilikuwa na formation ya 4-3-3 na ya sasa wamekuja na formation ya 4-2-4
Katika miaka sita iliyopita UEFA walikuwa wakitumia formation ya 4-3-3 isipokuwa mwaka 2017 ambapo walitumia 4-4-2
"Speaking in defence of the selection, a UEFA spokesman said: ‘The formation for this year's team of the year was chosen to reflect the votes of the fans in parallel with the players' achievements in UEFA competitions. "
Mabadiliko haya yameleta manung'uniko mengi ambapo wadau wanadai UEFA wamebadili formation ili waweze kumuweka Ronaldo kwa sababu asingepata namba kwenye formation ile iliyozoeleka na mabadiliko hayo yakamuadhiri Kante wa Chelsea
Timu iliyofanyiwa mabadiliko hii hapa
Alisson
Trent Alexander Arnold - Matthijs De Ligt - Virgil Van Dijk - Andy Robertson
Frenkie De Jong - Kevin De Bruyne
Lionel Messi - Robert Lewandowski - Cristiano Ronaldo - Sadio Mane
Ubora kwa barcley?? kama ni kwa hili, Kweli nakiri mi nitakua sijui mpira, kiungo gani anatoa pasi theni anajificha, kiungo unatakiwa unatoa pasi then unatafuta nafasi unauomba mpira tena, sio kujificha usipewe tena. Hatutakaa tukapata chochote km ataendela kujidanganya barcley ni bora kuliko jogh na kante hahahaha.....Unafikiri wabongo wanajua mpira basi?wengi wao wanadandia na wanaangalia mpira kwa ushabiki ndomaana hawaoni ubora wa mtu
Me namzungumzia mount sio BarkleyUbora kwa barcley?? kama ni kwa hili, Kweli nakiri mi nitakua sijui mpira, kiungo gani anatoa pasi theni anajificha, kiungo unatakiwa unatoa pasi then unatafuta nafasi unauomba mpira tena, sio kujificha usipewe tena. Hatutakaa tukapata chochote km ataendela kujidanganya barcley ni bora kuliko jogh na kante hahahaha.....
Kiungo gani anatoa pasi huko huko alipogeukia, akibanwa hana hata cha kufanya anaishia kutoa back pass. Akishageukia kulia basi ndio huko huko, hawazi hata kudanganya kama viungo wenzie, wanakimbia upande wa kulia, pasi inakuja kutolewa kushoto.
Huyo alonso msim huu mechi nyingi amakosa coz ya maumiv tangu acheze game ya spurs aliumia n mpaka sasa bado hajaponaAngekua anawapa moyo pia na akina Alonso, sio kuwasugulisha benchi. Lampard mbaguzi, mi nasubiria huyo barcley wake atampelekakwenye mafanikio gani, ipo siku tutaongea lugha moja humu.
Naelewa sana Alonso ni majeruhi, ila kabla y game la spars alikua hachezi, sabab kadrop kiwango. ndio angempa motivation kama anaewapa waingereza wake!. Umeshaona hat Giroud akipewa chance, Abraham ndio huyo anaruka ruka tu kwnye chance kumi anapata moja ila fresh tu kwa kuwa ni muingereza.Huyo alonso msim huu mechi nyingi amakosa coz ya maumiv tangu acheze game ya spurs aliumia n mpaka sasa bado hajapona
Smtime tuwe tunapenda kufatilia press conference za makocha sio kusema kuwa anapendelea mchezaj flan
Same to kante ambae aliumia kabla na mechi ya burnley sasa kesho ukimkuta barkley ndan usishangae kuna muda kkcha anajikuta hana wachezaji kupitia hao alionao anajarib kuwapa confidence ili aweze kupata alichkbora kutoka kwao
Halaf kama uliwah kumuangalia barkley wa everton utajua potential yake aliyokuwanayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Waingereza wamewafanya nini? si ni ligi yao? Halafu anaeongoza kwa idadi ya magoli msimu huu pale Chelsea ni Mtanzania au?.Naelewa sana Alonso ni majeruhi, ila kabla y game la spars alikua hachezi, sabab kadrop kiwango. ndio angempa motivation kama anaewapa waingereza wake!. Umeshaona hat Giroud akipewa chance, Abraham ndio huyo anaruka ruka tu kwnye chance kumi anapata moja ila fresh tu kwa kuwa ni muingereza.