Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kesho man u angekuwa anacheza na norwich tungemzidi point 2 hovyo kabisa,tumepigwa sekunde za mwisho
 
Newcastle washafanya yao
tapatalk_1577655133915.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani tumepata 6 corners lakini zote zimeenda bure.... Usishangae Newcastle wakipata kona moja wanatutungua na biashara inaishia hapohapo....

Tunashindwa kuscore kwa mashuti ya mbali na set pieces... Hili ni tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilisema before....

Yaani tumepata corner 10 newcastle wamepata corner moja tu... Hiyohiyo moja wameitumia vizuri....

Kama jamaa asiposajili basi hali itakuwa tete huko tuendako....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakweli lampard naona kuna kitu bado anakikosa,,,

Nahisi hajui mapungufu ya timu,, au kuna vitu anavyoamini ambavyo sio sahihi..

Chelsea inakosa watu wa long range shoot,, sidhani kama kwenye training hii kitu wanaifanya..

Pia sio deadly tena kwenye set pieces.
Mechi nyingi tunapata kona nyingi ila hatuzitumii.. Ni moja tu nakumbuka alifunga azpilicueta.. Tammy mrefu lakin hajui kabisa kuji"position

Lampard anatakiwa ajue weakness za timu ,na azifanyie mazoezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Batshuayi kwa kweli tungemuachia tu aende, sioni kama anamsaada wowote kwa timu...

Najua chelsea sasa tunaogopa asije kua salah, bruyne au lukaku mwingine,, lakini muda mwingine ukishindwa ku"unlock potential ya mchezaji ni bora umuachie aende..

Kwa mpira wa leo sub nzuri ingekua ya mtu kama giroud,, kwa crosses na kona zile naamin angefunga angalau goli moja..

Ila kuwategemea hawa watoto wakina abraham ambao wakikosa goli wanacheka hukh wakiwahi kuangalia cameras,, sidhani kama tutafika inapotakiwa

Men wins you a match sio hawa boys

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom