GwamahalaJR
JF-Expert Member
- Jul 18, 2019
- 414
- 769
Pole, umeongea kwa uchungu sana!Batshuayi kwa kweli tungemuachia tu aende, sioni kama anamsaada wowote kwa timu...
Najua chelsea sasa tunaogopa asije kua salah, bruyne au lukaku mwingine,, lakini muda mwingine ukishindwa ku"unlock potential ya mchezaji ni bora umuachie aende..
Kwa mpira wa leo sub nzuri ingekua ya mtu kama giroud,, kwa crosses na kona zile naamin angefunga angalau goli moja..
Ila kuwategemea hawa watoto wakina abraham ambao wakikosa goli wanacheka hukh wakiwahi kuangalia cameras,, sidhani kama tutafika inapotakiwa
Men wins you a match sio hawa boys
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
