Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Si hao hao waingereza ndio waliocheza, mi nasubiria kwa hamu tutolewa top4 ili akili itukae sawa.
Liverpool fans walikuwa hivi hivi kuwaponda akina Milner na Henderson lakini ni hao hao ndio waliochangia kwenye mafanikio ya Liverpool sasa
Chelsea fans tumeanza kuwaponda waingereza wakati kwanza ni ligi yao na ni lazima wawepo, pili hao hao akina Tammy, Mount, Tomori, Reece ndio wanaisababishia Chelsea iwepo kwenye top 4 hata baada ya kufungiwa kusajili.
Mimi ni kati ya Chelsea fan ambao namuamini sana Kocha hata kama ana madhaifu, mwacheni afanye kazi. Ndio mwaka wake wa kwanza tu hata timu bado kuisuka. Klopp 4 yrs, PEP 3 yrs, Lampard 6 Months only
 
Do not underestimate Andreas Christensen
The past few games have seen Chelsea attracting opposition attacks from their own errors. For all his decent performances, there are too many silly mistakes from Kurt Zouma. Even Fikayo Tomori is not safe from those. No matter how much possession Chelsea has, those mistakes create opportunities for the opponent to attack.

But with Christensen, there is a calmness in Chelsea’s defense. His reading of the game takes away any vacant space for the opponent to run into. It also offers proper freedom for Cesar Azpilicueta to move forward.

With Christensen, goalkeeper Kepa Arrizabalaga looked more confident. Antonio Rudiger did not have to watch out for his partner and therefore get into trouble himself.

The Dane also put in extra work on his physical abilities as well. No Chelsea player was involved in more aerial duels than him. For Lampard to mount a challenge for titles, he needs to believe in Christensen. If there is a successor for John Terry, it is him.
 
Wote hapa ni Shabiki wa Chelsea. Ndani ya ushabiki wa Chelsea, pia kuna ushabiki wa kocha na mchezaji.

Kwa mfano Barcelona kuna mashabiki wa Barcelona na zaidi kuna mashabiki wa Messi.

Ukija kwa Chelsea kuna mashabiki ambao hawakupenda ujio wa Lampard. Waliamini bado Lampard hajafikia uwezo wa kuifundisha Chelsea.

Hawa Mashabiki siku Lampard akipoteza mechi wanaamsha ile hasira yao kwake. Mfano yule shabiki ambaye juzi alimtukuna Lampard kabla hata mechi ya Burnley haijaanza.

Na shabiki wanaomchukia kocha watapinga chochote kocha anachokibuni na kupanga, ndio wanaosema kocha analeta uingereza.

Kuna mashabiki wanaopenda wachezaji, yeye mchezaji wake anaomshabikia asipocheza kama hana injury hakuewi mfano ni shabiki wa Ngolo Kante leo kwenye kikosi hamuoni anamuona Barley

Shabiki wa namna hii lazima amchukie Barkely na atasema uingereza unambeba.

Kuna mashabiki wanoshabikia timu, mbinu na falsafa ya kocha. Huu mfano unanigusa mimi, napenda sana timu iwe na mfumo kabambe unaotupatatia matokeo chanya, nampenda sana kocha anayebadilisha mbinu za mchezo kulingana na adui anavyocheza.

Mwisho kuna mashabiki wanaopenda timiu yao iwe na mastar wa viwango vya dunia. Sasa anavyoona kocha analeta academic players anachukia kweli. Wapo mashabiki wanatamani hata tumsajili Mbappe.

Kwahiyo shabiki anao uhuru wa kutoa mawazo yake kulingana na kile anachokiamini na kukishabikia. MWISHO WA SIKU WOTE TUNAITAKIA TIMU YETU MAFANIKIO MAKUBWA.

Kwa Lampard naomba tumvumilie amepewa timu imefungiwa usajili na mbaya zaidi HAZARD aliondoka.

Tumpeni Lampard asajili wachezaji wake dirisha hili la january na kiangazi. Uzuri wa Chelsea kocha akivurunda misimu 2 anatimuliwa.

Mimi nilipenda sana Lampard angebeba kombe la carabao na hili la FA azidi kupata CV na kuwajengea imani mashabiki ambao wana wasiwasi naye.

Sent using Cash Money Wings
Hivi watu wanaosemaga kwa sasa larmpad tumuvilie huwa siwaelewi ujue

Kwani larmpad kafanya kosa gan hadi tumuvumilie?

Mlitaka ashike namba moja au?

Yaan mtu yuko top four na kusajili hajasajili alafu tena mnasema tumvumilie?

Huyo ni genius twende naye na tutembee kifua mbeleee siyo tumuvilie

Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi watu wanaosemaga kwa sasa larmpad tumuvilie huwa siwaelewi ujue

Kwani larmpad kafanya kosa gan hadi tumuvumilie?

Mlitaka ashike namba moja au?

Yaan mtu yuko top four na kusajili hajasajili alafu tena mnasema tumvumilie?

Huyo ni genius twende naye na tutembee kifua mbeleee siyo tumuvilie

Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
hata mimi nasema hivi TUMUVUMILIE TU haina namna tumuvumilie
 
Hivi watu wanaosemaga kwa sasa larmpad tumuvilie huwa siwaelewi ujue

Kwani larmpad kafanya kosa gan hadi tumuvumilie?

Mlitaka ashike namba moja au?

Yaan mtu yuko top four na kusajili hajasajili alafu tena mnasema tumvumilie?

Huyo ni genius twende naye na tutembee kifua mbeleee siyo tumuvilie

Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
hata mimi nasema hivi TUMUVUMILIE TU haina namna tumuvumilie
 
Wanaosema tumvumilie:- kwa mawazo yangu navyohisi kwamba labda kuna mechi tungetakiwa tushinde labda kwa wachezaji waliopangwa hawakwendana na mfumo au sub alizofanya Lampard zikapelekea kuzidiwa.

Hao ni mashabiki wanaomini Lampard bado mchanga kuwa kocha wa timu kubwa kama chelsea.

Ndio maana tunawajibu wamvumilie kochavl kwanza asajili wachazeji wake tukiamini yale Ambayo baadhi ya Mashabiki wanayataka yatatimizwa.

Sent using Cash Money Wings
Kwahiyo wao wanataka Chelsea iwe inashinda tu kila mechi?

Kwa wachezaji gan ilionao?

Msimu uliopita tulikuwa tunabugizwa mpaka 6 walikuwa wapi kulalamika au ndo wameanza kushabikia Chelsea msimu huu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom