Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Naona leo tetesi ,

Tumeweka paund 60mil kwa Alaba,,

Hii dili itakua poa sana, uzoefu pamoja na umri wa miaka 26 ata tufaa sana kwa miaka kadhaa..

Na pia kwa pale bayern ni kama anaelekea kupoteza namba..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Battle for Chalov


Chelsea will have to try and fight with Crystal Palace and Brighton over the signing of CSKA Moscow star Fefor Chalov, according to the Daily Mail.

Chalov has scored 17 goals this season and has caught the eye of Blues scouts this term, with Roman Abramovich said to be keen on the Russian.

Palace had a £14million bid turned down by CSKA in the summer, and the Russian club would want considerably more from Chelsea this January.

Chalov, however, would likely play second fiddle to Tammy Abraham for now - something which could put the 21-year-old off from joining the west London side.


Sent using Jamii Forums mobile app
Nimetoka kumuona Youtube huyu Chalov anaonekana kuwa ni mzuri na ataimprove kadri siku ziendavyo kwa sababu ndio kwanza ana miaka 21. Kiuchezaji yupo kama Werner ivi japo perfomance haziendani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Line up
IMG_20200105_162722_135.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo FA nimegundua kuwa
Barkcley na Odoi ni wachezaji wazuri kwenye timu ndogo
Bashuayi, Emerson na Pedro ni mizigo kweli kweli hata kwenye mechi ndogo
Mfano kuna krosi nzuri sana Reece kamshushia jamaa akaokoa badala ya kufunga kwa kichwa
Pia kuna krosi nzuri sana kutoka kwa Odoi badala ya kugusa tu hata kwa kichwa au tumbo au kifua yeye akapiga kwa mguu midhili ya kuokoa kama beki
Pedro
Batshuayi
Emerson wauzwe tu chap chap ni mizigo, yaani afadhali hata ya Giroud kuliko Batshuayi
 
Chelsea haina wachezaji wa kuchukua ubingwa wa UCL, EPL. Wachezaji wa kawaida sana. Kante mwenyewe amechoka ametumika mfululizo.

Tusiposajili kimkakati na kuleta wachezaji wa viwango vya dunia tutaendelea kusindikiza liverpool na city.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kante hajachoka
Hawa wachezaji MIZIGO wakiondoka timu itakuwa nzuri
Kucheza katikati ya wachezaji wachovu hata mchezaji mzuri kama Kante anamezwa

Chelsea iajiri tu Leftback na right back wazuri ambao pia wanaweza kucheza kama wing-backs
Iajiri attacking midfielders wazuri na striker mmoja. wakija wachezaji strategic wane au watano Chelsea inatosha kuchukua ubingwa wowote
 
Kante kachoka kweli lbl haya mapumziko ya hz wiki mbili zitamrudisha kwenye mood tena lkn mechi 2 & 3 zilizopita inaonyesha jnc gn alivochoka.!
 
Kante kachoka kweli lbl haya mapumziko ya hz wiki mbili zitamrudisha kwenye mood tena lkn mechi 2 & 3 zilizopita inaonyesha jnc gn alivochoka.!
Sidhan kama kante kachoka ,coz msim huu mechi nyingi hajacheza ni tofauti niwakina william,kova,jorginho ambao kuanzia msim huu mpaka unaanza til now sana wamekosa mechi 1 or 2 kati yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KANTE amechoka kulingana na majukumu yake makubwa kwa sasa (KUKABA NA KUSHAMBULIA).

Joginho sio partner mzuri wa KANTE, majukumu ya kukaba yanamlemea Kante.

Timu isajili ATTACKING MIDFIELDER, Kante abaki na jukumu moja tuu la kukaba.



Sent using Jamii Forums mobile app
Au wewe hujui maana ya kuchoka
Timu imechanganya mizigo wanaofanya hata wachezaji wazuri kama Kante waonekane wamechoka. BIG NO. Usijali unaotakiwa ukifanyika ndio utaona Kante hajachoka kwanza hajacheza mechi nyingi, muda mwingi alikuwa majeruhi. Uzuri wa Kante umemezwa na timu kukosa Chemistry nzuri
 
Au tusajili victor wanyama asaidiane na Kante [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio mchezaji wa kusaidiana na Kante ndie atatatua tatizo
Wasajiliwe wachezaji wa kukamilisha chemistry nzuri ya timu
Timu ya mpira inahitaji chemistry kuanzia kwa kocha starting XI hadi wale wa benchi. Kocha asipate headache ya kubahatisha timu kila mechi kama anavyofanya Lampard kwa sasa
Namba zote zinazopwaya ziwekwe wachezaji wanaostahili
  1. LB angalau mmoja
  2. CB angalau mmoja atakayeendana na Rudiger
  3. Winga angalau mmoja au wote wawili
  4. Atacking MF
  5. Striker mmoja
January wanaweza kuwatafuta wawili na waliobaki wamalizie msimu wa kiangazi
Na wachezaji watakaosajiliwa Kocha awe na sauti ili wawe na mawasiliano mazuri na kocha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom