Tatizo la Chelsea sio striker
Lampard kashakuwa Ole Sendeka, kilikuwa na haja gani hasa kufanya substitution ili hali timu ikicheza vizuri?Uyo Lampard amekua ndezi sana,, huyu ni small team coach
ivi kwani kuna haja ya kufanya substitution timu ikiwa inacheza vizuri,
Uyu odoi alimtetea kua ametoka majeruhi makubwa that is why anashindwa ku"perform...
Sasa kuna haja gani ya kumchezesha mechi ambazo zina pressure...
Unaongoza goli moja,, timu yakl imeweza ku"handle pressure ya mechi vizuri tuu,, then unafanya substitution ya kipumbavu kabisa..
Poor decision by Lampard
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu wewe achaga mapenzi ya hovyohovyo....first half Arsenal walikamata na kina kante walipoteana mazima ila 2nd half mukarudi vizuri....Sijui mwenzetu ulikuwa unaangalia wapi match. Arsenal walitushika wapi kwa mfano?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmeanza tena ulevi wenu...hatua mbele mbili hatua moja nyuma.
Ukimuona Ollachuga nishtue, namtafutaTunashukuru yule Ollachuga atatulia, kazi kuzungukazunguka kwenye thread za watu wenye uhakika wa top 4.. [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hawa na Wolversampton hawana tofauti kabisa kihadhi .....vyote ni vitimu vidogo vinavyotafuta umaarufu...Kama kawaida yenu. Mnakaza kwa wakubwa, mnaenda kugawana na watoto. "United Syndrome"..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamvabe style yaani hili goli bora VAR ilivyokaa kimya maana ingehitajika kutoa maamuzi isingeweza maana ingechanganyikiwa.....butubutu kama ule msodo wanaochezaga watoto wa primary school .....duhHappy New Year 2020 for Chelsea and Chelsea Fans all over the World
1st goal. AzpiView attachment 1309364
Huu mgoli duhJamani kwema umu ndani
Heri ya mwaka mpya
Lampad bonge la kochaView attachment 1309472
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa kama wamasai ukiwadhamini wanakuachia shukaKila la kheri kwenye kushinda hii mechi, top 4 mnayo.
Kwa maoni yangu:- Chelsea inacheza vizuri sana ila nadhani inahitaji KIUNGO MSHAMBULIAJI ambaye ni MBUNIFU SANA arahisishe uchezaji wa timu.
Kwenye ushambuliaji naona kama kuna KAKIUNGANISHI au KAAKILI AU KAUBUNIFU flani kanakosekana.
Sijui kama mawazo yangu ni sawa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka wa kuzaliwa ni tofauti na msimu wa ligi. 2009-2019 ni m iaka 11
NEXT
Valencia - UEFA - 2/11 - AWAY correction 27/11
West Ham 30/11 - HOME
Aston Villa 4/12 - HOME
Everton 7/12 - AWAY
Lile - UEFA 10/12 - HOME
Bournemouth 14/12 - HOME
Tottenham 22/12 - AWAY - Krisimasi ngumu hapa
Southampton 26/12 - HOME- hapa tutakula mwaka mpya vizuri
Arsenal 29/12 - AWAY - hapa tutakula nyama choma na ugali murua na mwaka mpya utaenda vizuri sana
Apa naona ushindi mwanzo mwisho ..sioni wa kutuzuia apo..
Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
United hiyo syndrome tumeiacha mwaka jana 2019. Naona wao wameona ni nzuri wamekuja nayo 2020Kama kawaida yenu. Mnakaza kwa wakubwa, mnaenda kugawana na watoto. "United Syndrome"..
Sent using Jamii Forums mobile app