Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kutokana na ukweli kwamba hatukufanya usajiri na pia tulimuuza mchezaji wa muhimu bila replacement hili ni jambo la kawaida kutokea. Kwa kuwa footwork inaonekana mm bado nina imani na Frank. Apewe muda na wachezaji watakao imarisha timu ndipo tumpime. Mpaka hapa Lampard kafanikiwa sana. Kaongeza thamani ya wachezaji mfano Tammy, Mount, Tomori ukitaka kuwauza leo si chini ya £50 kila mmoja. Let's hope the best are on a way, we are the blues.



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom