Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

IMG_7155.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
OK tutaona ,tusubiri

I believe in Arteta ball ,
Ndugu Arsenal ajaribu kupiga vipasi hawezi njia rahisi kuifunga Chelsea ni kuzuia ukifanya counter ,uwezo wa Chelsea Ku possess game ni mkubwa sana kuliko Arsenal hata wewe unalijua hilo ,guardiola kwenye possession alizidiwa , mtoto wake Arteta atafanya kipi? Arsenal wakituvizia na kutumia makosa ya inexperience ya Zuma na tomori watapata point 1
 
Arteta anapiga pass hadi utakimbia

Utaniambia kesho,
 
Sasa mkuu 4-3-3

Pulisic - Tammy - Willan

Kovacic - Joginho - Kante

Emerson/Azipuleta - Tomori- Rudger- James/ Azipuleta

Sent using Jamii Forums mobile app
James kesho hachezi

Yaani ntaangalia match kama nikiona kikosi kinachoendana na hiki cha 3-4-2-1.

Tammy

Pulisic/Mount - Willian

Alonso - Kovacic - Kante - Azplicueta

Tomori - Zouma - Rudiger

Kepa

Kwa wachezaji alionao timu inabalance ikicheza 3 4 3 kuliko 4 3 3

Walahi nikiona line up siielewi basi sitaangalia match...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii mechi Lampard sijui atakuja na mfumo gani na wachezaji gani. Unashindwa hata kupredict matokeo.

Hii mechi nadhani aje na 3-4-3. Na sio 4-3-3. Mfumo wa 4-3-3 lazima atampanga yule kilaza Emerson au Azipiculeta ahamie kushoto. Na huu mfumo ukimpanga Alonso mzito kwenye kukaba kuliko kushambulia.

Mfumo wa 3-4-3 ampange:-

Pulisic - Tammy - Willan

Alonso - Kovacic - kante - Azipuleta

Tomori - Rudger - Zouma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pale kwenye Pulisic ondoa weka Mount
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom