Ngolo Kante aliwekwa frontline kwa sababu ya uwezo wake wa kukimbia na mpira kama Kovacic na pia uwezo wake wa kuintecept
Sasa imepita Zaidi ya miezi 18 kuanzia Enzi za Sarri mpaka sasa ana rekodi mbaya ya kufunga na kuassist je aendelee kuwepo huko m,bele au arudishwe nyuma
Baadhi ya mashabiki wanadai Jorginho aende mbele na Kante arudi kwenye kudefend kwa sababu uwezo wake wa kusoma mpira na kukata umeme ni mkubwa
Mnasemaje wadau wa Chelsea?
Kamfukuze Ole maana huyo nafasi ya 5 umeshikia tu watu kwa muda...Jamani kesho tukifungwa tumfukuzeni lampard au mnasemaje wenzangu!?
Lampard hawezi kufukuzwa bila usajili. Ngoja asajili wachezaji wake January na dirisha kubwa, tuone timu itakuwa moto au picha la kutisha litaendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kocha lakini tupo top 4 angekuwa kocha basi angekuwa hatari sana na tungeongoza 30points ahead of LiverpoolLampard sio kocha hawezi kupanga team Wala mbinu mbadala Hana mpk leo Chelsea first eleven haijulikani ligi imeshafika katikati tatizo lake ameweka Sana undugu kwenye team anapenda Sana ndugu zake waingereza wote wacheze wale wachezaji wa maana anaweka nje
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sijaongea kishabiki, Man U tumewaacha point moja tu
Baada ya sajili za January. Tutapita picha ya top 4. Ila binafsi nauhakika top 3 itabaki hiyo hiyo:-
1. Liverpool
2. Man city
3. Leicester
Wolves atamaliza ndani ya top 6.
Chelsea, man u & Totte mmojawapo anamaliza top 4.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah Alonso hayupo hata Sub naona bado hajapona.... View attachment 1306517
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe unajua kama mnakufa leo?vizur3-4-3 Jnamkubali zaidi alonso kuliko Emerson...
Naona bahati mbaya leo hayupo... ila kufa kuko palepale...
Sent using Jamii Forums mobile app