AmarokB
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 893
- 753
"EXPERIENCE"
Umeona sasa madhara ya kuwaza game ya jumapili ,alafu mnaacha ya leo...kuja kustuka Kante anatoa assist ya goli na watu wanazidi kupageuza Darajani kuwa shamba la bibi.
Nambie mkuu.....bado upo Mwananyamala au ushapelekwa Mloganzila??????
Ni hatari mzee....yaani,watu wanapika wanapakuliwa hapo Darajani kushakuwa danguro la vyura....wewe ni kushika mkono tu.Wamechomoa betri huko dully jr
Hahahahah naona hasira zako zote zimeishia katika ugaliHii mechi imenivuruga hapa mtu akinisemesha chochote natembeza makofi tu
Kwani Odoi ni mchezaji wa Ndanda?si alitaka kusepa mkamkomalia abaki,hahahahaaHii inaitwa consistence of inconsistence ,kikosi cha ushindi hakibadilishwi ,huyo emerson na odoi sijui Lampard anakwama wapi
Ushabiki maandazi huu....January litakurupuka kusajili wachezaji wa hovyo. Hili lazima litimuliwe tu maana sioni tukibeba ndoo yoyote misimu 4 ijayo kama hili dude litabaki
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ww ushinde game ijayo...Umeona sasa madhara ya kuwaza game ya jumapili ,alafu mnaacha ya leo...kuja kustuka Kante anatoa assist ya goli na watu wanazidi kupageuza Darajani kuwa shamba la bibi.
Sent using Jamii Forums mobile app

Daah yan game za kupoteza tunashinda lakini game za kushinda tunapoteza
Sent using Jamii Forums mobile app