Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Everton ya jana ni ile mbovu sio ile iliyocheza na Chelsea. No morale, no pressing. Arsenal walicheza kawaida yao. Laiti Everton wangeweka aggressiveness kidogo kukaribia ile waliotuwekea, Arsenal wangefungwa mengi tu jana
Pyeeee pyeeee
 
Lampard nampenda ila anastahili kutukanwa tu! Hakuna namna nyingine
Odoi ameshaproove ni mbabaishaji halafu anamuweka tu
Emerson ni LB anakuja kumpanga kwenye Wing-back
Koach ndie kaivuruga timu
Mimi najua hata kutengeneza chemistry ya timuy kuliko Lampard, huu ni ukweli kabisa
Formation inaendana na wachezaji
Hii formation ya 3-4-3 ilitakiwa acheze Alonso badala ya Emerson, Pia Mount badala ya Odoi. Game ilikufia hapo jamani
 
Naona kuna zawadi mnataka mumpe Tottenham. Haya kazaneni.
Screenshot_20191227-010111.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lampard nampenda ila anastahili kutukanwa tu! Hakuna namna nyingine
Odoi ameshaproove ni mbabaishaji halafu anamuweka tu
Emerson ni LB anakuja kumpanga kwenye Wing-back
Koach ndie kaivuruga timu
Mimi najua hata kutengeneza chemistry ya timuy kuliko Lampard, huu ni ukweli kabisa
FGormation inaendana na wachezaji
Hii formation ya 3-4-3 ilitakiwa acheze Alonso badala ya Emerson, Pia Mount badala ya Odoi. Game ilikufia hapo jamani

Huyu Odoi mulikuwa muingize around £40m kutoka kwa Bayern au Liverpool mukajifanya kumng'ang'ania. Tulieni sasa
 
Huyu Odoi mulikuwa muingize around £40m kutoka kwa Bayern au Liverpool mukajifanya kumng'ang'ania. Tulieni sasa
40M pesa ndogo kwetu, Lampard alitakiwa tu ampe less important games au zile games za EPL ambayo tuna uhakika wa ushindi, amuingize 20min mwishoni. Kama vile Liverpool mlivyoshinda 4-0 ndio ilitakiwa kumuingiza mchezaji aina ya Odoi dakika hizo ili naye apate experience.

Odoi ubishoo ukimuisha atakuwa winga mzuri
 
Ivi huyu Soton si aligongwa 9 - 0 nyumbani kwake na Leicester?

Dah! Mambo yanaenda kasi sana
 
A:- Nilishawahi kusema huko nyuma kwa sasa wachezaji 6 tuu ndio wanastahili kuanza 1st eleven CHELSEA:-

Kante
Rudger
Willan
Pulisic
Kovacic
Joginho

Kama kweli tunataka misimu ijayo tuchukue kombe, wachezaji 5 wa maana wenye uzoefu mkubwa wasajiliwe kujaza hizo nafasi

B:- Wachezaji Wanao deserve kuwa sub:-

Mount
Tammy Abraham
Zouma
Tomori
Alonso
Odoi
Barkely
James
Keppa

C:- Wachezaji wa kuuzwa:-

Batshuayi
Giroud
Pedro
Azipiculeta
Emerson
Christensen

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kweny kuuzwa muweke na barkley

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kweny kuuzwa muweke na barkley

January
Tusajili wa 3 hiv then dirisha kubwa mwezi wa 6 tusajili tena kama wa 4 baada ya hapo tutakuwa tukopoa

Hawa madogo tukisema tuwategemee tutakaa hatabmiaka 6 bila kupata kikombe chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom