bBusneM
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 288
- 590
Leo tuwe wapole tu mana Kwa kikosi Chetu inabidi tushangilie gemu ikiisha kama tutakua tumeshinda
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Me Sina kabisa imani ya kushinda leo.Leo tuwe wapole tu mana Kwa kikosi Chetu inabidi tushangilie gemu ikiisha kama tutakua tumeshinda
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyeirudisha nyuma Chelsea ni yule mnigeria emenelo huyu ndio aliyewasajili Barkley,drink water,zappacosta,bakayoko na sasa hivi hayupo Tena kwenye uongozi mbona Kuna sajili zimefanywa na uongozi zilikuwa bomba hasa na yule mama mrusi pamoja na abramovich mfano wa sajili ni Hazard, osca, mata, anelka, j Cole, kante,A.cole,makelele.

Nenda Google utaona.
We ndo ujui kitu unafikiri sababu zipi zilizosababisha emenelo ajiuzulu?Umeongea uongo na kinafki kabsa.... hao wachezaji wazuri wote uliowataja kawasajili eminelo, na hao wa bovu kawasajili huyo mama..
Eminelo ni director mzuri sana kuwahi kutokea chelsea,kaleta wachezaji wazur sana kama drogba,essien, hazard.. lakn huyo mama ndio katulete wakina bakayoko
Mimi cjaelewa nyinyi mpira mmeanza kushabikia lini au mlikiwa mnaadisiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
We ndo ujui kitu unafikiri sababu zipi zilizosababisha emenelo ajiuzulu?

Duh ameondoka wakati mmoja na Conte, baada ya ile misuguano ya usajili wa Morata na Lukaku, na pia mashabiki hawakuridhishwa na sajili zake, Eminalo akaamua kung'atuka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwoga wa bure tu!, hao tot pia ni weupe tu. Game ya leo itanategemea na jinsi lampard atakavyopanga kikosi, chelsea ni wazur sana sema kocha tu ndio kiazi. Usije ukashangaa hao tot wakaoga magoli hat manne.Me Sina kabisa imani ya kushinda leo.
Mnapenda vya bwerere,yani isco mumpate kwa hyo hela mwezi huu? Au amebakisha miezi sita kwenye mkataba?Chelsea wanamtaka Isco na wametoa ofa hii hapa
Chelsea slapped in a £44.4m (€52m) offer for the Spain international on Monday.
Kwo lampard ashakuwa kiazi sa hvUwoga wa bure tu!, hao tot pia ni weupe tu. Game ya leo itanategemea na jinsi lampard atakavyopanga kikosi, chelsea ni wazur sana sema kocha tu ndio kiazi. Usije ukashangaa hao tot wakaoga magoli hat manne.

mashabiki siku zote hamlizikagi..... Lampard anaipeleka vizuri sana timu yenu kama hujui.... Sasa nyie nengenekeni mumfukuze kazi... Ndo mtajua hamjui 

Mdogo wake TomoriMan u wanamchukua Erling Haaland
Liverpool wanamchukua Takumi Minamino
Chelsea tunamchukua nani?
Sio chini ya lampardUwoga wa bure tu!, hao tot pia ni weupe tu. Game ya leo itanategemea na jinsi lampard atakavyopanga kikosi, chelsea ni wazur sana sema kocha tu ndio kiazi. Usije ukashangaa hao tot wakaoga magoli hat manne.
Mkuu huu ujasiri ni wa juu sana Ngoja nijaribu kukuaminiUwoga wa bure tu!, hao tot pia ni weupe tu. Game ya leo itanategemea na jinsi lampard atakavyopanga kikosi, chelsea ni wazur sana sema kocha tu ndio kiazi. Usije ukashangaa hao tot wakaoga magoli hat manne.