Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

TOT VS CHELSEA
Predicted linup for Sunday London Derby
______________________________________________

Pulisic - Tammy Abraham - Willian
Kovacic - Jorginho - Kante
Azpilicueta - Tomori - Rudiger - Reece James
Kepa
 
Mount asema amelenga kufunga magoli 10 kwa msimu mzima. Naona yuko kwenye lengo tayari
 
Man u wanamchukua Erling Haaland
Liverpool wanamchukua Takumi Minamino
Chelsea tunamchukua nani?
Nyie si ndio mlikuwa mnaomba msifunguliwe kutoka katika ban yenu!!!!!!

Hahahahahahaha maji ya shingo sasa eeeennnhhh

Tatizo mnajimwambafy na kujioverrate sana bandugu....

Nafikiri Yaya Sanogo anawatosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MAGAP CHELSEA

Gap la Hazard
Gap la Fabrigas
Gap la Ashley Cole
Gap la Azipuleta (Akiwa moto)
Gap la Lampard
Gap la Terry
Gap la super sub striker Anelka (Mapungo)
Gap la Peter Chech

Tunatakiwa tusuke chelsea mpya. Kikosi kilichopo sikioni kikichukua ubingwa mbele ya Liverpol na Man city.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hao wote ni first11 moja kwa moja.....lakini kuna viumbe walijiaminisha kuwa hakuna tatizo na hakuna haja ya kusajiri maana kina Mount wanatosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila mimi sidhani kama tunamhitaji Isco kwa namba yake au kwa caliber yake. Tunahitaji winger na LB, ela ikitosha tupate striker
RLC tunaye, kapona, Mount tunaye yuko fit, Kovacic yupo yuko fit, sijawataja akina ross hapo tunapoteza pesa wakati kuna strategic areas zinahitaji wachezaji wa pesa kubwa
Katika wachezaji wote wanaocheza nafasi ya isco hakuna hata mmoja mwenye uwezo Kama wa isco.
 
1 isco = 10 Mounts + 2 Barkelys

Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri wa Isco ni kitu gani, kukaa na mpira sana, hawezi kuhurt opposition. Kama hatutanii basi tumtafute attacking MF caliber ya Lampard tuachane na ndoto kwamba Isco atakuja kubadilisha ushambuliaji wa Chelsea. Kati ya Isco na Mount mimi ningemchagua Mount 10X
Mount ana miaka 20 tu na kibindoni ana magoli 5, mwisho wa msimu anaweza fikisha 10
Isco kwenye peak season yake ana goli 10 akiwa na miaka 24 baadaye goli 7 akiwa na miaka 25 hiyo peak season imeisha hatutegemei Isco kurudi kwenye peak tena na sasa ana miaka 27. Sasa yeye ni wa magoli 3 kwa season nzima hata assists zake hasizidi 3 kwa msimu
 
Aaaaaah kumne ni wapiga nyetoh hahahahahahaha ndio maana dah......
Screenshot_20191222-091910.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri wa Isco ni kitu gani, kukaa na mpira sana, hawezi kuhurt opposition. Kama hatutanii basi tumtafute attacking MF caliber ya Lampard tuachane na ndoto kwamba Isco atakuja kubadilisha ushambuliaji wa Chelsea. Kati ya Isco na Mount mimi ningemchagua Mount 10X
Mount ana miaka 20 tu na kibindoni ana magoli 5, mwisho wa msimu anaweza fikisha 10
Isco kwenye peak season yake ana goli 10 akiwa na miaka 24 baadaye goli 7 akiwa na miaka 25 hiyo peak season imeisha hatutegemei Isco kurudi kwenye peak tena na sasa ana miaka 27. Sasa yeye ni wa magoli 3 kwa season nzima hata assists zake hasizidi 3 kwa msimu
Screenshot_20191222-102610.png
 
Ina maana leo tunampa morinyo POINT 3 kiroho safi. Nafuatilia page za Chelsea insta na facebook naona mashabiki wamekata tamaa mechi na tote

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiukwel sizani hii game nitaangalia tatizo lampard mbinu Hana na sub zake za kipuuzi mfano game ya Everton sub ilitakiwa iwe ya mount pekee yeye kamtoa jorginho kambakisha mount kosa lingine kamtoa willian kamuingiza bishoo odoi.
 
Chelsea are reportedly closing in on an agreement for Borussia Dortmund and England wonderkid Jadon Sancho.
However, according to The Sun, Frank Lampard's Chelsea are 'close' to wrapping up an audacious £120m deal for Sancho which would smash the club's transfer record.
Jadon Sancho to Chelsea 22 Dec 2019.jpg
 
Arsenal jana imepanga watoto wakatoa draw na Everton. Sisi full mkoba tunafungwa na Everton. Ina maana Chelsea ni mbovu kuliko Arsenal ya watoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
Everton ya jana ni ile mbovu sio ile iliyocheza na Chelsea. No morale, no pressing. Arsenal walicheza kawaida yao. Laiti Everton wangeweka aggressiveness kidogo kukaribia ile waliotuwekea, Arsenal wangefungwa mengi tu jana
 
Ile £150M iliyotengwa ya usajili january ukitoa 120 ya sancho. Tunabakiwa na 30.

Bado kusajili beki wa kati, beki wa kushoto, stiker. Tunapungufu ya kama £ 150M

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata pesa zote zikiisha, huu usajili ni wa muhimu mno. Winga mwenye uwezo wa kukupa mabao 15 na assists 15 ni moto wa kuotea mbali. Hata Hazard pamoja yeye hakuwa winga lakini nafasi yake ni kama tu winga alikuwa hafikii hiyo rekodi
 
Utaratibu wa usajili ukoje?

Ni kocha anapendekeza majina ya wachezaji wa kusajiliwa?

Au management ya timu inasajili wachezaji kulingana na falsafa ya timu au uhitaji wa nafasi flani? au wanavutiwa na mchezaji mkali?

Nimeuliza hivyo kwa sababu nataka kufahamu hawa wachezaji nani alipendekeza wasajiliwe?:-

DRIKNKING WATER
ZAPPACOSTA
BARKELY
BAKAYOKO
ALONSO
EMERSON
GIROUD
BATSHUAYI
KEPPA

Kama JIBU ni kocha mwenye jukumu la kusajili aina ya wachezaji anaowataka kwanini management inamkubalia kusajili wachezaji wenye viwango duni kupekea kugharimu timu na kuturudisha nyuma?

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika list hiyo ni mchezaji mmoja tu aliyesajiliwa na kocha ambaye ni ALONSO alisajiliwa na CONTE the rest wamesajiliwa na uongozi hasa kipindi Cha uongozi wa emenelo yule mnigeria.
 
Chelsea is also interested in signing Erling Braut Haaland, the Norwegian forward who has emerged as one of the deadliest finishers in Europe this season.

The 19-year-old has already scored 28 goals in 22 games across all competitions, including the Champions League.
 
Utaratibu wa usajili ukoje?

Ni kocha anapendekeza majina ya wachezaji wa kusajiliwa?

Au management ya timu inasajili wachezaji kulingana na falsafa ya timu au uhitaji wa nafasi flani? au wanavutiwa na mchezaji mkali?

Nimeuliza hivyo kwa sababu nataka kufahamu hawa wachezaji nani alipendekeza wasajiliwe?:-

DRIKNKING WATER
ZAPPACOSTA
BARKELY
BAKAYOKO
ALONSO
EMERSON
GIROUD
BATSHUAYI
KEPPA

Kama JIBU ni kocha mwenye jukumu la kusajili aina ya wachezaji anaowataka kwanini management inamkubalia kusajili wachezaji wenye viwango duni kupekea kugharimu timu na kuturudisha nyuma?

Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea na mahusiano yaliyopo
Mfano wakati wa Jose, kocha alikuwa sehemu ya ushauri wakiwemo Marina pamoja na Roman
Makocha waliofuata hawakuwa na mawasiliano mazuri na management hasa Marina na kwa hiyo scout team na Marina pamoja na Roman ndio wahusika wakuu
Wakati huu wa Lampard, nafikiri kwa sababu yeye ni Legend wa timu amekuja darajani na heshima Fulani, lazima wanamsikiliza ushauri wake kwenye kuwasajili na kuwauza wachezaji. Na ndio maana hata uuzaji wa David Luiz ulifanyikia mazingira hayo hayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom