42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,833
- 8,811
Lazima tupate mtu wa kuziba pengo la hazard japo kwa muda tu.... Pia tupate striker na beki ya kulia....Ingekuwa maoni yangu tungesajilki winga caliber ya Sacho na striker wa kumsub tammy, kama pochi ikitosha wa tatu tuweke LB word class kama akina Ashley cole kule kulia Azpi na Reece wanaweza kuimudu
Nimesema hivi kwa sababu tuna shida kubwa kwenye final third hata kocha kilio chake kikubwa ndio hiyo na hata wakifika mara chache hawana madhara, shots nyingi zinapotea bila ya kuwa converted kwenye magoli. Pulisic ni winga mzuri ila udhaifu wake mkubwa ni kwenye stamina, akija Sacho akicheza kulia, Willian arudi kushoto wachangamshane na Pulisic. Na kule kulia Sacho na Odoi nao wapambane. Odoi muda mfupi ujao, may be season moja akipewa mechi nyingi atazoea na kuwa winmga mzuri, Sasa Odoi ana stamina sana na mBio ila NOT clinical kwenye touch na passing zake hata kwenye shots golini bado. Naona anajitahidi tu kwenye long balls na crossing
Sent using Jamii Forums mobile app