Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hichi kikosi kisibaki hivi hivi kinaumiza sana moyo. Kikosi kinahitaji maingizo mapya ya viwango vya juu na wazoefu.

Wachezaji waliopo kwa sasa wanaostahili kubaki 1st eleven ni:-

Rudiger
Kante
Pulisic
Kovacic
Joginho

Nafasi 6 zilizobaki zijazwe na maingizo mapya.

Na wachezaji wa sub ni:-

Keppa
Zouma
Tomori
James
Emerson
Mount
Abraham
Odoi
Lfc

Wachezaji wa kuuzwa:-

Azipuleta
Willan
Pedro
Giroud
Batshuayi
Alonso
Christensen
Barkely
Bakayoko
Drinking water
Victor Mosses
Zappacosta


Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishaongea sana kuhusu Willian hatusaidii chochote eatu wakawa wanasema eti unataka afunge magoli? Sasa najiupiza katika mechi hizo xote tulizofungwa kafsnya nini cha maana?

Willian wa kuuzwa sema Lampard nilisikia anataka board imuongezee mkataba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kweli kweli? kocha haoni kwamba partinership ya Kante, Jorginho na Kovasic inaleta matokeo positive, wakiwepo hao hat wachezaji wengine utaona wanaperform, wasipokuwepo kila mchezaji utamuona anarukaruka tu, kinachomsumbua huyu kocha ni kulazimisha waingereza wenzake wacheze .........
Inauzi lakini tumvumilie. Ndio maana nikasema Kocha bado anatest starting XI kwenye ligi badala ya kusubiri FA
Unamwacha KOvacic ili Mount acheze, halafu unamtoa Jourginho ili Batsuayi acheze. Mashabiki wengi kwenye mitandao na wachambuzi wanamshangaa sana Lampard kwenye hili
 
Nilishaongea sana kuhusu Willian hatusaidii chochote eatu wakawa wanasema eti unataka afunge magoli? Sasa najiupiza katika mechi hizo xote tulizofungwa kafsnya nini cha maana?

Willian wa kuuzwa sema Lampard nilisikia anataka board imuongezee mkataba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Katika hiki kipindi cha Lampard moja ya wachezaji wewnye umuhimu hata asipofunga magoli ni Willian
Ni Willian na Kova pekee wenye uwezo wa kwenda deep kwenye final third wakitokea nyuma. Pulisic anajaribu lakini hana stamina, hao wengine ndio usiseme. Akiondoka pale Willian, Odoi hataweza kuvaa viatu vyake labda aje Sacho. Wasiwasi wangu kwa Willian ni moja tu, akipewa mkataba mkubwa Katika umri huu wake anaweza kuacha kujituma na akaishia kula mshahara wa bure akiwa benchi. Nawasiwasi anajituma sasa hivi ili kuvutia management wampee mktaba mrefu wa miaka miwili. Hiyo ndio worry yangu na nafikiri hata management wana hiyo hiyo worry
 
UEFA HATUA YA 16 BORA TUMEPANGWA NA BAYERN MUNICH.

Historia ya mwaka 2012 itajirudia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa timu hii ni ngumu kujirudia
Wakati huo wa 2012 tulikuwa na Petr Cech golini sio Kepa
FB tulikuwa na akina Terry na sio Zouma
FB mwingine alikuwa ni David Luiz na Garry Carhill kwenye ubora wao
LB Ashley Cole sio Emerson au Alonso
RB alikuwepo Ivanovic mzee wa kupanda na kushusha majalo
Katikati kulikuwepo Michael Essien na Lampard pamoja na Malouda na Ramires, moto wa kuotea mbali
Mbele tulikuwa na asiye na mfano na ndie aliyebeba timu, Legend Didier Drogba na Torres mzee wa mechi kubwa
Sioni wa kufikia hizo namba kwenye hii timu ya leo, kama wapo ni watatu au wawili au watatu tu
 
Mpaka sasa hivi sijaelewa mpango wa usajili Chelsea january tunasajili nafasi zipi beki, winga au foward?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekuwa maoni yangu tungesajilki winga caliber ya Sacho na striker wa kumsub tammy, kama pochi ikitosha wa tatu tuweke LB word class kama akina Ashley cole kule kulia Azpi na Reece wanaweza kuimudu
Nimesema hivi kwa sababu tuna shida kubwa kwenye final third hata kocha kilio chake kikubwa ndio hiyo na hata wakifika mara chache hawana madhara, shots nyingi zinapotea bila ya kuwa converted kwenye magoli. Pulisic ni winga mzuri ila udhaifu wake mkubwa ni kwenye stamina, akija Sacho akicheza kulia, Willian arudi kushoto wachangamshane na Pulisic. Na kule kulia Sacho na Odoi nao wapambane. Odoi muda mfupi ujao, may be season moja akipewa mechi nyingi atazoea na kuwa winmga mzuri, Sasa Odoi ana stamina sana na mBio ila NOT clinical kwenye touch na passing zake hata kwenye shots golini bado. Naona anajitahidi tu kwenye long balls na crossing
 
Barkley katusababishia haya hapa tulipaswa kucheza na atletico,atalanta l,napoli hawa hawana uzoefu na michuano hii,ile penalty aliyong'ang'ania Barkley imetu cost tungeongoza kundi
Yaani nikisikia jina la Barkley najisikia vibaya sana
 
Mkuu usitaje hicho kikosi natamani kulia machozi.

Mausajili ya hovyo yaliofanyika hapa mwishoni mwishoni yalituharibia kikosi kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Cha kushangaza hata Ivanovic, Terry na Essien hawakucheza kwenye hiyo fainali. Terry na Ivanovic hawakuwepo kabisa nafikiri walikuwa majeruhi, Essien alianzia bechi
  1. Petr Cech;
  2. Ashley Cole,
  3. David Luiz,
  4. Gary Cahill,
  5. Jose Bosingwa;
  6. Frank Lampard,
  7. John Obi Mikel;
  8. Ryan Bertrand,
  9. Juan Mata,
  10. Salomon Kalou;
  11. Didier Drogba.
 
Kuna ile sheria kwamba kama mchezaji alishachezea UEFA hiyo timu anayotoka hawezi tena kuendelea kucheza uefa timu inayokwenda kwa msimu huo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo sheria ilifutwa mwaka jana na sheria mpya inayoruhusu wachezaji waliochezea klabu zao kwenye group stage kuruhusiwa kucheza na klabu mpya waliohamia kwenye mtoano. Na hiyo sheria imeanza msimu huu
 
Aiseee tungekuwa tumepangwa atalanta.... Game ingekuwa nyepesi kishenzi yani...
Barkley katusababishia haya hapa tulipaswa kucheza na atletico,atalanta l,napoli hawa hawana uzoefu na michuano hii,ile penalty aliyong'ang'ania Barkley imetu cost tungeongoza kundi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom