interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,410
Toa red card kwa kepa shati kwanza kabla ya kuchambua mchezaji m1 mAfadhali mpira umeisha
Jamaa wametushusha kutoka possession ya 56% hadi 51
Kepa ana psychological na mental problem
Wachezaji wengi hawakucheza kwenye form yao
Ningechambua Zaidi lakini nimeangali kuanzia dk ya 60 tu