Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Afadhali mpira umeisha
Jamaa wametushusha kutoka possession ya 56% hadi 51
Kepa ana psychological na mental problem
Wachezaji wengi hawakucheza kwenye form yao
Ningechambua Zaidi lakini nimeangali kuanzia dk ya 60 tu
 
Sasa tuombe dua ajax afungwe au draw ili mechi na Valencia wasisinzie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom