Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Imani yangu ,Tumekwisha pita Lile ni kibonde hawezi kutuzuia , maombi yetu ajax vs Valencia watoe sare tu,cha muhimu ni kuomba kuongoza kundi kuepuka miamba katika 16, huku tunapaswa kukutana na Napoli ,atletico,zeneth/Lyon,inter,shaktah kwasasa hawa tunawaweza.Muda unavyokwenda tunazidi kuimarika na vijino pembe kama Dully Jr wanaandika wakijua matarajio yao hayakukamilika ,walitupigia kelele hatutashinda game hata moja uefa sasa kilichobaki ni aibu.
 
Biashara tumeshindwa kufanya asubuhi jioni tutatweza kweli? Lile wakitudindishia?.
  1. Tukimfunga Lile tutasonga
  2. Tukitoa draw kule wakatoa draw tumekwenda na maji
  3. Tukifungwa na Valencia wakafungwa tumekwenda na maji pia
Lille ni mdogo sana tutampiga 3+ tena wakipangwa kina odoi ,mount,James hili wala hatuna mashaka ,tunacho pata hofu ni Ajax kuongoza kundi tukawa wa pili ,bado momentum yetu inaongezeka hatupaswi kukutana na miamba kwa sasa juve,psg,Barca,
 
Kama tukishinda kwa lille njia ni nyeupe... hao ajax na valencia watajuana wenyewe...
Imani yangu ,Tumekwisha pita Lile ni kibonde hawezi kutuzuia , maombi yetu ajax vs Valencia watoe sare tu,cha muhimu ni kuomba kuongoza kundi kuepuka miamba katika 16, huku tunapaswa kukutana na Napoli ,atletico,zeneth/Lyon,inter,shaktah kwasasa hawa tunawaweza.Muda unavyokwenda tunazidi kuimarika na vijino pembe kama Dully Jr wanaandika wakijua matarajio yao hayakukamilika ,walitupigia kelele hatutashinda game hata moja uefa sasa kilichobaki ni aibu.
 
Imani yangu ,Tumekwisha pita Lile ni kibonde hawezi kutuzuia , maombi yetu ajax vs Valencia watoe sare tu,cha muhimu ni kuomba kuongoza kundi kuepuka miamba katika 16, huku tunapaswa kukutana na Napoli ,atletico,zeneth/Lyon,inter,shaktah kwasasa hawa tunawaweza.Muda unavyokwenda tunazidi kuimarika na vijino pembe kama Dully Jr wanaandika wakijua matarajio yao hayakukamilika ,walitupigia kelele hatutashinda game hata moja uefa sasa kilichobaki ni aibu.
Mzeee... bora ukutukane na timu yotote ucl ila siyo timu za italy... hasa napoli..
 
Jana nimelala kwa hasira sana sana. Kwanza huyo mtu anaitwa Batshuayi apaki mabegi yake aondoke STANFORD BRIDGE. Akatafute timu kokote anakojua.

Dirisha la usajili lazima tusajili striker mkali mzoefu wa kutupa mabao match kubwa na ngumu.

Kumtegemea TAMMY ni kujichelewesha, yeye aendelee kupata uzoefu ngoma wa watoto haikeshi, striker no 1 lazima asajiliwe kutupa matokeo.

Kuna muda Lampard anatamani pale mbele stiker afanye kitu flani matokeo yake mambo ya ovyo yanafanyika. Veri disapponted.

KEPPA KEPPA KEPPA.

Christensen mzee wa maboko/kujichanganya

Nimefurahishwa sana na performance ya:-

1. Kovacic (excellent)
2. Kante
3. James (excellent)
4. Pulisic

USAJILI MUHIMU SANA:- striker, beki ya kushoto, winger ya kulia, kiungo mkabaji (anapotoka joginho kinatakiwa kiingie kitasa sio timu kulemewa).
Kova na James, wonderful
 
Kwani ulishawahi kukubali?

Hoja yako kila siku ni kuwapiga vita fans wenzio wa Chelsea wanaowaunga mkono antiChelsea na kuwa tofauti kimaono na wewe.....
Na mimi ndio nakuelewesha kuwa binadamu hawawezi kufanana kifikra mara zote,wanapishana mawazo mapacha itakuwa nyinyi washabiki wa chelsea,
Na nikakupa mifano watu wanavyotofautiana kimawazo ktk nyuzi mbalimbali na wote ni fans wa timu moja...mfano Liverpool,Arsenal na Man utd kote wanatofautiana sembuse hapa !!!!
Kutofautiana kwa mawazo ni jambo LA kawaida. Afu watu inabidi wajue mpira ni burudani. Utani lazima uwepo. MTU anaweza sema Chelsea inashuka daraja (mwingine anakuja na matusi). Pia kuna watu wanatukana kiutani .
yote kwa yote kila MTU na uelewa wake.
Burudani sio Ugomvi wakuu let's enjoy.
 
Tammy kwa sababu ya umri wake mimi bado namuamini, as we go ataimarika kwa kujiamini na umakini ktk ufungaji
Kepa simuelewi kabisa hasa anapotoa mpira kwa maadui golini, japo pia ana msaada, tatizo lake kubwa kwenye judgement
Christensen ni afadhali ya Tomori, sijui kwa nini Lampard alimpumzisha huyo Tomori, Zouma na Jorginho jana haikuwa siku yao nzuri
Emerson sijui kapatwa na nini, au mchumba wake kamkataa nini? Hakuwa hivi
 
Naunga mkono hoja striker inatakiwa ya kutupa ushindi. Tammy aendelee kupata uzoefu taratibu.
Jana nimelala kwa hasira sana sana. Kwanza huyo mtu anaitwa Batshuayi apaki mabegi yake aondoke STANFORD BRIDGE. Akatafute timu kokote anakojua.

Dirisha la usajili lazima tusajili striker mkali mzoefu wa kutupa mabao match kubwa na ngumu.

Kumtegemea TAMMY ni kujichelewesha, yeye aendelee kupata uzoefu ngoma wa watoto haikeshi, striker no 1 lazima asajiliwe kutupa matokeo.

Kuna muda Lampard anatamani pale mbele stiker afanye kitu flani matokeo yake mambo ya ovyo yanafanyika. Veri disapponted.

KEPPA KEPPA KEPPA.

Christensen mzee wa maboko/kujichanganya

Nimefurahishwa sana na performance ya:-

1. Kovacic (excellent)
2. Kante
3. James (excellent)
4. Pulisic

USAJILI MUHIMU SANA:- striker, beki ya kushoto, winger ya kulia, kiungo mkabaji (anapotoka joginho kinatakiwa kiingie kitasa sio timu kulemewa).
 
Joe Cole adai Lampard kufanya kosa kubwa kumtoa Jorgninho na kumuingiza Emerson, lile goli la kusawazisha lisingetokea
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Emerson sio yule kabisa aliyemueka Alonso bechi. Atakuwa ana matatizo ya physiology.

Mr. Limbu kila mtu ana imani ya TAMMY lakini sio kumtegemea 100%, hatutamuuza ataendelea kucheza aendelee kujifunza na kuimarika. Lakini striker mzoefu lazima asijiliwe wa kutuvusha kwa kipindi hichi cha mpito cha kukuza vijana.

KEPPA hamna kitu ile pesa ya kumnunua bora Abromovich angenunua Jumba la kifahari.
Striker ni muhimu hakuna wa kubisha
Kepa nilikuwaga namtetea sasa basi, anahitajika kipa mwingine huyo akae benchi au asepe akitaka kwa sababu makossa yale yale kama vile anakusudia
 
Kovacic ni mtu kwel kwel.

Yule jamaa ni mashine. Ila Lamp anakosea sub. Kama anawaanzisha wote 3 yaani kante Jorghino na Kova basi sub iwe kwa Kova. Abaki Kante na Jorghino kati na kante. This is 2 times amemtoa Jorghino na hatujapata matokeo mazuri.

Kwa ushauri wangu badala ya kumtoa Jorghino Kamanda kova atoke.
 
Wewe upo nafasi ya Europa tu,

Utabiri wangu game ijayo lazma msuluhu na Lille na Ajax anagongwa na Valencia au wanasuluhu pia hahahaaaaaa

Futuhi
Tatizo lako hujawahi tabiri sahihi always huwa unaenda OP halafu unarudi kwa hasira. Hata ivyo tukija EL bado double trouble kwako na manyumbu.
 
Imani yangu ,Tumekwisha pita Lile ni kibonde hawezi kutuzuia , maombi yetu ajax vs Valencia watoe sare tu,cha muhimu ni kuomba kuongoza kundi kuepuka miamba katika 16, huku tunapaswa kukutana na Napoli ,atletico,zeneth/Lyon,inter,shaktah kwasasa hawa tunawaweza.Muda unavyokwenda tunazidi kuimarika na vijino pembe kama Dully Jr wanaandika wakijua matarajio yao hayakukamilika ,walitupigia kelele hatutashinda game hata moja uefa sasa kilichobaki ni aibu.

Yule mwenzao nasikia kapata heart attack kwa aibu na povu aliyokuwa akitoa. Aaron kajipiga ban hana hamu tena
 
Biashara tumeshindwa kufanya asubuhi jioni tutatweza kweli? Lile wakitudindishia?.
  1. Tukimfunga Lile tutasonga
  2. Tukitoa draw kule wakatoa draw tumekwenda na maji
  3. Tukifungwa na Valencia wakafungwa tumekwenda na maji pia
Hakuna namna nyingine zaidi ya kushinda game ya mwisho na Lille hayo matokeo ya Ajax na Valencia tuwaachie wao wenyewe.
 
Ina maana sisi tunatakiwa tushinde match na lille tufuzu bila kuangalia matokeo ya AJAX na Valencia.

Tukishinda tutakuwa na point 11 tukidraw tunakuwa na point 9

Valencia akidraw anakuwa na point 9 au akishinda anakuwa na point 11

Ajax akishinda anakuwa na point 13 akidraw anakuwa na point 11 sawa na chelsea akishinda. Tofauti magoli so atakaa juu ya chelsee.

Unaweza tazama hapo. Chamsingi tushinde. Ili valencia akidraw au akishinda bado tunapita
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom