Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 24,802
- 44,575
Huyo zouma siyo kwamba alipatwa na nini, No makosa yake mengi hufichiwa na tomori ambaye jana alikuwa nje
Alafu Emerson bado ni wa muhimu sana upande wa kushotoTammy kwa sababu ya umri wake mimi bado namuamini, as we go ataimarika kwa kujiamini na umakini ktk ufungaji
Kepa simuelewi kabisa hasa anapotoa mpira kwa maadui golini, japo pia ana msaada, tatizo lake kubwa kwenye judgement
Christensen ni afadhali ya Tomori, sijui kwa nini Lampard alimpumzisha huyo Tomori, Zouma na Jorginho jana haikuwa siku yao nzuri
Emerson sijui kapatwa na nini, au mchumba wake kamkataa nini? Hakuwa hivi