Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sijui kwa nini walikuachia mapema hao polisi, si wangekuchelewesha angalau game ya leo ipite maana una damu ya kunguni wewe, pamoja na timu yako kulizwa lizwa bado unapumua je wangekuwa wanashinda kama Liverpool si mtaani tungepata karaha
Mkuu mimi bado nasema hivi

City 5 Chelsea 1

Na hilo shati lililotundikwa hapo golini jiandae kisaikolojia maana yajayo yanafurahisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom