Happycuit
JF-Expert Member
- Aug 18, 2013
- 646
- 542
Huyo paul ince anazeeka vibaya,maana chelsea hakuna mchezaji wa kumweka nje mchezaji yeyote wa city .....kikosi unachoweza kukifanyia combinenga ni cha liver tu,kwa mbaaaaali spurs na leicester unaona kuna watu wawili watatu wanaweza kuingua....COMBINED XIView attachment 1269238
Hivi umweke Mahrez nje eti uchomeke huo ushubwada willian!!!!
Umweke Laporte,Stones na Otamendi nje uweke hiyo takataka Tomori na zouma,
Umweke Bernado,Silva na Rodri uweke hizo ngalangala Mount na kante khaaaaaaaaa!!!!!
Kwakuwa ni kombinenga yaani lazma na wao wawepo sawa lakini kiuwezo hata Fodden hakuna wa kumweka benchi hapo,
Nyie chelsea vichezaji vyenu ni softsoft vitoto havina tofauti na vile vya asenane
