Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hivi nyinyi bado muna ndoto za kuongoza ligi?

Eti Liverpool Leo ifungwe mupunguze points!!!
 
Haya Mancity tumeshampakata huko sasa kazi kwenu mechi ijayo nawahakikishia hasira zake anamalizia kwenu
 
Mancity mwaka huu anatoboka kirahisi, halafu wakifungwa wanakuwa nahasira, wakifanya fouls nyingi na kuotea ovyo ovyo
 
Akishaanza nunua tu Chelsea inaharibika. Kina Odoi wenyewe washaanza lia lia namba
Chelsea manager Frank Lampard has made £70million-rated Lazio midfield star Sergej Milinkovic-Savic a priority signing if the club’s transfer ban is lifted.
The 24-year-old 6ft 3in player who helped Lazio win the Coppa Italia last season would offer Lampard more options in the midfield area in addition to greater experience to dove tail with some of the younger stars.
 
Kun a watu humu ndani walikejeli sana kuhusu uwezo wa Willian na wengine wakamshusha dhamani yake kutokana na magoli machache anayofunga. Nafikiri sasa wanaona Willian ni mchezaji wa namna gani na kwa nini Bracelona walikuwa wakimfukuzia. Nilicomment kuwa mchezaji saa nyingine hawi maarufu/legend kwa sababu ya wingi wa magoli anayofunga bali play style yake na kwa vipi anainfluence timu kucheza vizuri na kushinda.
Huyo ndie Willian waingereza wanasema "Inform Willian"
Willian.png
 
Hivi nyinyi bado muna ndoto za kuongoza ligi?

Eti Liverpool Leo ifungwe mupunguze points!!!
Unachojaribu kufanya ni kutengeneza upinzani ambao sisi tulusha upuuza. Haikuhitaji hata elimu ya driving kujua Man City hawezi pata point 3 Anfield.

Hongera kwa ushindi.
 
Kun a watu humu ndani walikejeli sana kuhusu uwezo wa Willian na wengine wakamshusha dhamani yake kutokana na magoli machache anayofunga. Nafikiri sasa wanaona Willian ni mchezaji wa namna gani na kwa nini Bracelona walikuwa wakimfukuzia. Nilicomment kuwa mchezaji saa nyingine hawi maarufu/legend kwa sababu ya wingi wa magoli anayofunga bali play style yake na kwa vipi anainfluence timu kucheza vizuri na kushinda.
Huyo ndie Willian waingereza wanasema "Inform Willian"
View attachment 1260123
Kiukweli yupo vizuri kwa sasa ila tuongee ukweli Willian sijui huwa ana tatizo gani kuna wakati huwa anacheza ufltafikiri kalazimishwa kucheza. Mara nyingi huwa anakua form hasa anapokaribia kusign mkataba na hili nimeliona kwa misimu kama miwili akisha sign mtamchukia tu anarudi kule kule kwenye kulegalega. Au anakua hana consistency ya perfomance kushuka na kupanda ndio jadi yake.

Kwa sasa ni muhimu sana kwa ajili ya experience na fundisho kwa madogo.
 
HTa Kante mwenyewe siyo kama anafunga magoal mengi. Ila kama utakumbuka PSG walitaka kutia €100m before chelsea wamsainishe mkataba wa 5 years.
Kun a watu humu ndani walikejeli sana kuhusu uwezo wa Willian na wengine wakamshusha dhamani yake kutokana na magoli machache anayofunga. Nafikiri sasa wanaona Willian ni mchezaji wa namna gani na kwa nini Bracelona walikuwa wakimfukuzia. Nilicomment kuwa mchezaji saa nyingine hawi maarufu/legend kwa sababu ya wingi wa magoli anayofunga bali play style yake na kwa vipi anainfluence timu kucheza vizuri na kushinda.
Huyo ndie Willian waingereza wanasema "Inform Willian"
View attachment 1260123
 
Akishaanza nunua tu Chelsea inaharibika. Kina Odoi wenyewe washaanza lia lia namba
Ina haribika kivp wakati ana imarisha kikosi ebu fikiri mechi ya jumamosi kante angekuwa majeruhi Nani angecheza nafasi ya jorginho?Chelsea Ina michuano mingi lazima iwe na option ya wachezaji ndo maana sasa chelsea wanamuinda Sana savic ambaye ni kiungo mkabaji ambaye pia ana experience me namkubali Sana huyu jamaa.
 
Jamani maombi yetu yanahitajika wachezaji wetu wasipate injuries haswa kwenye international break inayoanza Thursday ,Kante anaumia sana akiwa France na yule Deschamps unavyopenda sifa lazima amchezeshe,pia Mason,Pulisic,Emerson na wasiwasi nao kurudi salama ,naamini Rejester Jorgihno atapumzishwa Italy wamefuzu tayari .Tunawasubiri City tuwafungulie dunia mashabiki wa Liverpool Tanzania maana hawajawai kuona team yao ikibeba EPL live isipokuwa kwa YouTube na video ,ikumbukwe miaka ya 80s Tanzania hapakuwa na TV.Blue is always the best color ,best wishes kwa wachezaji wetu wanaowakilisha vyema mataifa yao.
 
Ukishapigwa 6 usijekusingizia mumemuachia ili Liverpool asibebe ubingwa
 
HTa Kante mwenyewe siyo kama anafunga magoal mengi. Ila kama utakumbuka PSG walitaka kutia €100m before chelsea wamsainishe mkataba wa 5 years.
Nilimaanisha kwa wacheza wa frontline, hyu Kante yeye yuko upande wa defensive huko nyuma labda baada ya Sarri na sasa Lampard kuamua kumtumia mbele na yeye atakuwa kama Willian, hatafunga magoli mengi ila uwepo wake uwanjani, uwezo wake wa kudetect mchezo na ku-intercept ndio unamfanya awe mchezaji wa kaliba ya juu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom