Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ukishapigwa 6 usijekusingizia mumemuachia ili Liverpool asibebe ubingwa
Ngwaba saa nyingine utani usiokuwa na mashiko weka pembeni, hii Man City sio ile ya mwaka jana na ndio maana nyie mumemfunga kirahisi. Timu hii ya PEP haina defense nzuri na ndio kilio cha baada ya LaPorte kwenda majeruhi. Sana sana wanaweza kushinda kwa margin ndogo au tukawafunga pia kama mabeki wetu wakiamka siku hiyo na kuwa makini maana mbele tunauhakika wa kufunga magoli
 
Kun a watu humu ndani walikejeli sana kuhusu uwezo wa Willian na wengine wakamshusha dhamani yake kutokana na magoli machache anayofunga. Nafikiri sasa wanaona Willian ni mchezaji wa namna gani na kwa nini Bracelona walikuwa wakimfukuzia. Nilicomment kuwa mchezaji saa nyingine hawi maarufu/legend kwa sababu ya wingi wa magoli anayofunga bali play style yake na kwa vipi anainfluence timu kucheza vizuri na kushinda.
Huyo ndie Willian waingereza wanasema "Inform Willian"
View attachment 1260123
Huyo Giroud tu barCa walimfukuzia
 
Ukishapigwa 6 usijekusingiziamumemuachia ili Liverpool asibebe ubingwa
Usitie shaka mechi hii imekuja mapema kabla ya Laporte,Zelichekhno kupona tutawaangukia lazima ,matokeo yatakufurahisha hatutakuangusha .
 
Mungu jaalia kabla ya mechi yetu pendwa Laporte awe ameshapona ili tumrudishe kwene huu UZI Rafiki yangu kipenzi Aaron
 
Mungu jaalia kabla ya mechi yetu pendwa Laporte awe ameshapona ili tumrudishe kwene huu UZI Rafiki yangu kipenzi Aaron
Aaron alitegemea team yenye mkusanyiko wa majina makubwa ndio inapata ushindi na yenye wachezaji wa kawaida wanashika namba 10
 
Aaron alitegemea team yenye mkusanyiko wa majina makubwa ndio inapata ushindi na yenye wachezaji wa kawaida wanashika namba 10

Anawaotea mufungwe tu huyo uone atakavoibuka kwa nguvu zote hapa

Na game yenu na Man City nawahakikishia atahamia hapa Siku 3 kabla ya game
 
Bora kununua mchezaji aliyefunga goli 20 championship kuliko kununua mfungaji bora wa ligue ndogo ndogo

Na ndiyomana kina Depay na Chamakh yule aliyekuepo Arsenal walinunuliwa wamefanana na Nyavu lakini kugusa EPL tu waligeuka kituko.
 
Tammy .....
Screenshot_20191111-184853.jpeg
 
Bora kununua mchezaji aliyefunga goli 20 championship kuliko kununua mfungaji bora wa ligue ndogo ndogo
Gambling haisemi hivyo
Kununua wachezaji inabaki kuwa kamari milele

Mifano hizi hapa

  1. Eden Hazard alitoka Lile na alipokuja Chelsea aliishia kuwa Legend wa timu kwa ubora wake
  2. Pepe - japo hatuwezi kumhukumu kwa sababu ni mapema mno lakini dalili za mvua ni mawingu, Pepe kashindwa kabisa kuonyesha ule ubora wake wa magoli 22 kwa msimu akiwa Lile
  3. Morata - alishindwa kutamba Chelsea sasa anatamba Laliga
  4. Cuadrado - alishindwa kutamba Chelsea sasa anatamba Serie A
  5. Diego Forlan - alishindwa kutamba Man U na akatamba Laliga na Vilareal na pia mchezaji bora wa kombe la dunia 2010
  6. Gerard Pique - alishindwa kutamba Man U chini ya Furguson na alipojiunga na Barcelona akatamba mpaka wa leo
  7. Radamel Falcao - alishindwa kutamba Chelsea ametamba Ligue one
  8. Angel Di Maria - alitamba na Real Madrid, alishindwa kutamba Man U na alipojiunga na PSG anatamba mpaka wa leo
  9. Jerome Boateng - alishindwa kutamba Man City alipojiunga na Beyern Munich akatamba huko
  10. Paulinho - alishindwa kutamba Spurs akaenda kutamba Barcelona Laliga
  11. Deco alishindwa kuonyesha ubora wake Chelsea
  12. Michael Owne alishindwa kuonyesha makali ya EPL alipohamia RM - Laliga mpaka ikamlazimu kurudi EPL baada ya msimu mmoja tu
  13. Cesc Fabregas alitamba sana EPL akiwa Arsenal lakini alipohamia laliga alifeli mpaka alipoamua kurudi EPL kuchezea Chelsea na ubora wake kama alivyokuwa Arsenal ukarudi tena
 
MOU alikana hakuhusika Katika kuuza MO Salah kwa Roma

The Egyptian lasted just 12 months at Stamford Bridge, starting only six games in the Premier League before being loaned to Fiorentina in February 2015.

Mourinho, however, has insisted it was not his decision to sell the winger to Roma, telling ESPN: “People say that I was the one that sold Salah and it is the opposite.

“I was the one that bought Salah. I was the one that told Chelsea to buy Salah… But he came as a young kid, physically he was not ready, mentally he was not ready, socially and culturally he was lost and everything was tough for him.

“Chelsea decided to sell him, OK? So the decision to send him on loan was a decision we made collectively, but after that, the decision to sell him and to use that money to buy another player wasn’t mine.”

It’s fair to say whoever at Chelsea made the call will have been regretting it come 2017 when Salah returned to England with Liverpool and has proceeded to score an incredible 74 goals in 110 games.
 
Hii ndio sababu Chelsea ina wachezaji wemgi walio kwa mkopo na ina sita sita kuwauza.

Mimi naona wakati mwingine kumtoa mchezaji kwa mkopo inadumaza sana kiwango chake hasa kisaikolojia anakua hajiamaini. Mfano unaweza kuta huyu Batshuayi sasa ivi kiwango chake kiko chini leo tukiamua kumuuza akaenda hata West ham au Watford usishangae akaonyesha kiwango kikubwa mpaka mtu ukaanza kushangaa alikua anashindwa nini akiwa Chelsea.? Refer huyu beki wetu wa kati (Nathan Ake) tulimuuza Bournemouth cheki sa ivi kiwango chake.

Hizi ndio kamari zenyewe.
 
Na sio ajabu pesa za kumuuza Mo Salah ndio ilitumika kumnunua aidha Bakayoko au Falcao (majina makubwa yaliyofeli)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom