Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,219
- 4,087
Tano nyumbani ni nyingi sana lakini.I can't blame you, English is your third language.
Tano nyumbani ni nyingi sana lakini.I can't blame you, English is your third language.
Kuwa mkweli.... kwani wewe hujafurahia hiki kichapo??????? Utadhani tulipigiana Penalty?????
hii michezaji mizee na torres ndo matapishi matupu....anaruka ruka tu aende zake bana...kwa mpirq ule chelsea hamuwezikuwa washindani kamwe
I can't blame you, English is your third language.
as long as you've judged me as an Arse hater I don't expect you to not be biased toward my comments, no surprise there!....and I bet you're a Chelsea LOVER, aren't you?..my arse! You're a fvckn piece of hypocrite, as usual.
Kama vile ulikuwepo wakati nazaliwa, 1.Sukuma 2.Swahili 3.EnglishI can't blame you, English is your third language.
tofauti yangu mimi na wewe ..mimi am a football fun! ndio maana hata game ya carling cup ya chelsea niliangalia... ligue za seria A ndio kwangu .. hapo kwenye red! hahahaha haya bana punguza hasira burudika na hii OffSide Trick Ft AT - Samaki - YouTube
Kama vile ulikuwepo wakati nazaliwa, 1.Sukuma 2.Swahili 3.English
Tano nyumbani ni nyingi sana lakini.
Hujui chochote kuhusu mimi na hivyo huwezi kulinganisha mimi na wewe!....hii nayo ni great thinking?! hahahaha, JF imevamiwa!
acha ligue zisizokuwa na msingi jf haina mwenyeji wala mgeni .. let's just enjoy the game ...
Great bro keep us posted...hope leo vijana hawatatudissapointRamireeeeeeeeeeeeeeees!!!!! Tunaongoza 1-0 dk.26
Great bro keep us posted...hope leo vijana hawatatudissapoint
Mkuu vipi ukiangalia performance ya vijana compared to the last game ya EPL?hope kuna changeshalf-time, Chelsea 1-0 Genk