Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Watoto bado wanadai chenji yao, hali si njema sana kwa wa buluu. lampard na sturidge wanaingia, anelka na ramirez nje!
 
Anelka and Ramires are off, Studge and Lamps coming on.
 
Juan mata anajiandaa kuingia hapa, romeu anatoka, ana jeraha juu ya jicho la kulia!
 
chelsea wanashambuliwa na huyu supersub wa genk. wamekoswa goli hapa...
 
naona meireles anaruka miguu ya shingo hapa! barda in for genk...
 
lampard anajaribu bahati yake hapa, mpira unapaa kwa hewa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom