Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,219
- 4,087
Goli la tatu ilikuwa faulu wewe! Pole kwa kichapo!!Hahaha! Kweli watu wengine mpira hatujui, ukiachilia mbali goli sidhani kama amecheza vizuri huyo santos. Sturridge alikuwa anamgeuza sana na kapata nafasi nyingi lakini hakufunga. Goli la kwanza na la tatu la kwa Chelsea yote yametokea kwake.