I would definitely say fvck torres first... he was nowhere as a strikerfvck!!!!
peasant bro... just grab a drink and wait for the next game... its like that
What's the MATA?!!!!!!!! HAHAHAHA 3-3
Saa nyengine na tuangalie na upande wa pili, beki ndio wamecheza ovyo lakini credit to Arsenal forwards, RVP, Gervinho na Walcoltt wamecheza vizuri leo na ndio sababu tumefanikiwa kufunga mabao 5. Poleni sana wapenzi wa Chelsea.Beki yetu leo imecheza kama ya Arses, anyway, long way to go.
Saa nyengine na tuangalie na upande wa pili, beki ndio wamecheza ovyo lakini credit to Arsenal forwards, RVP, Gervinho na Walcoltt wamecheza vizuri leo na ndio sababu tumefanikiwa kufunga mabao 5. Poleni sana wapenzi wa Chelsea.

mwana usimsahau santos... game ilimkubali Leo kamficha Mata .. angecheza gibs Mata angefanya uchochoro...
Hahaah....matokeo yake mmeachia nyie!tukiwapa cha pili faster wataachia nyingi zaidi.