View attachment 1256339[/QUOTE]Sasa hivyo vi% si muliongeza baada ya mlungula kutembea mkawapunguza kwa red za mazabe na matuta ya kuungaunga lasivyo mlikuwa mnakufa 7 hapo daraja la mabua.....Naona umeleta statistics za first half pekee. Ngoja mimi nikuletee za match nzima.Hivi nyinyi raia wa humu kwanini mnakuwa wabishi,mnabishana na uhalisia,ndio maana mnaambiwa humu mumejijaza vitoto vya u20View attachment 1256308
Mechi ngapi mpaka sasa hivi???
Na bado game ngap msimu uishe???tatizo mna kiherehere soka ni mchezo wa hadharani so vuteni subra ili may tuje kutoa hitimisho
Eh lakn nkachukua ubingwa mbona ww ulishiriki msimu uliopita hakuchukua ubingwakama wewe ulivyocheza msimu uliopita
View attachment 1256339[/QUOTE]Sa mbona dully jr anapenda sana kujizalilisha kiasi hichoNaona umeleta statistics za first half pekee. Ngoja mimi nikuletee za match nzima.Hivi nyinyi raia wa humu kwanini mnakuwa wabishi,mnabishana na uhalisia,ndio maana mnaambiwa humu mumejijaza vitoto vya u20View attachment 1256308
£350M ni kiasi cha pesa kwa ajili ya usajili. Kiasi hicho kimetokana na mauzo ya Eden Hazard, Alvaro Morata na wachezaji wengine + mapato ya Epl + Uefa champion 2018/2019.
Lampard kazi kwako.
Ila ktk mchezo huo nadhani Hazard alikuwa ndie man of the match, sikuangalia yote lakini niliangalia dakika kama 10 za mwishoni na watanganzaji walikuwa wakimtaja kuwa ndie man of the match. Bado quality ya Hazard iko pale pale hata kama hajafunga au hana assists. Anajua kuwachezesha wenzake kule mbele na kucreate chancesMADRID GOAL 6.
Hazard No assist
Hazard No Goal
Rodrygo Hatrick
January waturudishie HAZARD wetu kwa mkopo.
Umechukua segment ipi, leta stats zote. Chelsea waliwazidi kila idara kipindi cha pili na ndio iliyoleta madhara mpaka zile fouls.Indication ya kumzidi mpizani wako ni anapocheza rafu angalia statistics za bookings ajax wanacheza rafu tena zenye kuzuia movement za hatari.Narudia kusema Chelsea hii itakunyima appetite
Hivi nyinyi raia wa humu kwanini mnakuwa wabishi,mnabishana na uhalisia,ndio maana mnaambiwa humu mumejijaza vitoto vya u20View attachment 1256308
Hatuna uhakika kama Valencia atamfunga ajax. Lazima tutafute ushindi hiyo mechi na Valencia.Kumbe Chelsea akimfunga Valencia hata goli moja tu watakuwa wamepita kwenye makundi kwa sababu hata Chelsea akifungwa mechi ya mwisho na Valencia akashinda dhidi ya Ajax tutarudi kwenye point 10 kila mmoja na Chelsea atakuwa na advantage dhidi ya Ajax na Valencia kwa H2H results
Mkuu nakubali kutofautiana kwa mtazamo. Upo sahihi pia naamini nipo sahihi.Acha kumlinganisha tamy Abraham na vitu vya kijinga jinga
Kumbe Chelsea akimfunga Valencia hata goli moja tu watakuwa wamepita kwenye makundi kwa sababu hata Chelsea akifungwa mechi ya mwisho na Valencia akashinda dhidi ya Ajax tutarudi kwenye point 10 kila mmoja na Chelsea atakuwa na advantage dhidi ya Ajax na Valencia kwa H2H results
Ebu fafanua vizuri sijakuelewaKumbe Chelsea akimfunga Valencia hata goli moja tu watakuwa wamepita kwenye makundi kwa sababu hata Chelsea akifungwa mechi ya mwisho na Valencia akashinda dhidi ya Ajax tutarudi kwenye point 10 kila mmoja na Chelsea atakuwa na advantage dhidi ya Ajax na Valencia kwa H2H results
Nakwambia tena ba tena.. kamwe usimuamini batshuati.. labda wewe umeanza kumuangalia msimu huu..
Huyu sio foward wa kumtegemea kabisa...
Umenena vyema nimekuelewaAdvantage ya Tammy ndio kwanza anakuwa, Batshuayi alikofikia kiwango hakitapanda sana, Kwa hiyo tunamategemeo kiwango cha Tammy bado kitakuwa anapozidi kupata exposure ya mechi kubwa
Msimu huu Abraham kacheza mechi nyingi sana kuliko batshuay.Wewe sio shabiki wa Chelsea na wala mpira hujui. Batshuayi anajulikana na wanaojua mpira, mpaka Batshuayi sio kaliba ya Chelsea, kumtegemea Batsuayi akupe magoli 9 kwenye mechi 11 ni ndoto za alinacha au hadithi za abunuasi.
Hahaaa ,mpira sio siasaHazard Don kachemka sana hapo ndiyomaana mi sikupoteza hata muda kumjibu.
Hivi kaliba ya Diego Costa au Didie Drogba uifananishe na Batshuay Makiri Kiri? [emoji4]