hazard Don
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 1,229
- 1,035
Mitchy batshuay
ngapi ngapi mkuuHatimaeeeeee,hongereni.
Chelsea wanaongoza goal moja.ngapi ngapi mkuu
Napita tuuLeo mnafungwa au draw,yaani Chelsea bure kabisa.
Chelsea wanaongoza goal moja.
Ulikuwa umejificha,naona umeibuka.Napita tuu
Ni wivu tuLeo mnafungwa au draw,yaani Chelsea bure kabisa.
SawaLeo mnafungwa au draw,yaani Chelsea bure kabisa.
Kuna wakati kuwa nawasupport,mwanangu anapenda sana Chelsea.Huku naona niwapinzani..ila kule kwa yanga tupo pamoja
Hahahahahahahahah Mabingwa wa Ulaya tunaingia uwanjani sasa.Kuna wakati kuwa nawasupport,mwanangu anapenda sana Chelsea.
Si nilikuambia mzee babaNgoja tuone