Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Leo sitaki Salamu ya Mtu coz najua Manure hata awe mbovu Vipi lakini hatokubali afungwe na Liverpool kiboyaboya.

Usijeshangaa Leo Rashford akawa Messi, Lingard akawa Neymar, Scot akawa Busquet.
Najua unajaribu kuongea kimpira na uhalisia wa mpira ulivyo lakini kiuhalisia leo Man U anakufa kwake pale pale. Hata afanyaje kina Rashford hakuna kitu watafanya kwa VVD na Matip.
 
Najua unajaribu kuongea kimpira na uhalisia wa mpira ulivyo lakini kiuhalisia leo Man U anakufa kwake pale pale. Hata afanyaje kina Rashford hakuna kitu watafanya kwa VVD na Matip.

Kama unataka kuwaona Manure wakicheza mpira basi angalia leo
 
Football.London mimi huwa napenda rating yao Kwani inaendana na nilivyowaona wachezaji kibinafsi

Wachezaji watatu wamepewa rating ya juu ya 8
  1. Jorginho
  2. Zouma na
  3. Odoi
Leo Zouma kucheza vizuri amekuwa very sharp kuokoa mipira na kiujumla kucheza akiwa ametulia na ninamuona Zouma akizidi kucheza kwa utulivu kila mechi, ambaye bado hajatulia ni Tomori
Anaimprove, na anamentality ya kupigania namba katika kikosi cha kwanza.
 
Hahaaa ni kwel mkuu hawa dawa yao hakuna kuwaacha yaan kuwakaba maana bad wanajazana ujinga sijui kwavile wameanza kushabikia mpira juzi ww ona vistats wanavyowekeana humu havina kichwa wala kiuno mpk unajiuliza hik nacho cha kupost au ndo ushamba uliopitiliza .



Afuu kingine haka kauzi kao kanaongoza kwa watu wenye mapovu yaan ukiwaswitch kidogo tu unapata povu lakutosha yaan ni kwamba hawawezagi kuvumilia kbs sasa najiuliza kama watapitia kipind kigumu kama cha sis washabiki wa LFC tulichopitia hapo nyuma si watakimbia mpk na kuufuta na huu uzi isitoshe washabik wa hik kitimu wanaonekanaga kipind cha mafanikio tu ,kuna mwingine huku mdogo wangu yeye huwa anashabikia kipind cha ushindi ili ikianza kizingua anajifanya anaipenda barca sio kawaida na hata humu kwenye uzi wao(fan wa cheltako) anatabia hiyo bwana mkubwa ollachuga oc


Yaan hiki kitimu chao tukibaatize tu jina jingine kama walivyo mbaatiza nyumbu now anaitwa Lia Lia fc

Hawa nadhan wawe povu fc
Hahahahaha wewe tulia ivyo ivyo mkuu ..zile mbwe mbwe za kuifunga Man u 4 zikuwapi? Sisi tunawahesabia mechi ..hamkatizi desemba mutakuwa nafasi ya tatu mangombania na spurs na arsenal uko...hahahahahahaha


This is Chelsea ..huu msimu tunakiwasha mwanzo mwisho..
 
IMG_6494.JPG
 
Huu Uhuru wa kutoa Maoni ukizidi sana unakuwa ni Kero
Hivi unaweza kwenda Uingereza wee mtu wa kuja na kuanza kukerwa na uhuru wao wa kutoa maoni?? kama unakerwa meza wembe au kula pilipili au fungasha virago uende zako
 
Leo sitaki Salamu ya Mtu coz najua Manure hata awe mbovu Vipi lakini hatokubali afungwe na Liverpool kiboyaboya.

Usijeshangaa Leo Rashford akawa Messi, Lingard akawa Neymar, Scot akawa Busquet.
Na ndivyo walivyokuwa bwana Nabii
 
Sasa ule utrabiri wa Aroon na King Ngwaba kwamba ndio mabingwa wa EPL, Chelsea inapanda tu haiteremki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom