Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,930
- 27,184
Kwani Lampard ameanzaje tofauti na alivyo anza Sarri!! Siyo nyie mnaosema hamna kitu pale? Siyo nyie mnaokuja kumponda kila siku humu?Umejisahulisha au unauliza hujui tuanzie hapo mkuu??
Bas ni hivi alivyo anza sari si sawa na alivyomaliza ova
Haya ameshinda mechi tunamsifia mnasema we ngoja hata Sarri alianza ivyo ivyo. Ninachoelewa mtu akiamua kukuchukia hata ufanye jema lipi ataona ni hamna kitu. Kazi anayofanya Lampard ni nzuri acha isifiwe inapobidi hata ikitokea siku ameharibu tutamponda vilevile.
