Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu hawa jamaa wako vizuri sana kwenye swala la majeraha na kucheza mechi. Sidhani kama itakua rahisi mchezaji kucheza mechi akiwa hajarecover fully, kilichotokea nadhani ni sehemu tu ya mchezo. Lakini nakumbuka Lampard alimkanya Deschamps kuhusu kumchezesha Kante akaleta ubishi nahisi Lampard alihisi Kante anahitaji muda wa ziada hata kama kapona. Kibaya akaumia kwenye warm up kama ilivyotokea kwa Pedro na mpaka sa ivi hajarudi.
Christensen na Kante majeruhi kwanini walikubali kwenda national team? Daktari wa club hakupendekeza wapumzike?

Sheria zinasemaje? Au mchezaji mwenyewe anapendekeza kwenda national team ijapokuwa hajarecover fully
 
Huyu jamaa hatukukosea kumsajili na ndio maana Sarri anamtaka tena
IMG-20191013-WA0000.jpeg
 
Kiukwel msimu Huu jorginho yupo on fire si Chelsea Wala team yake ya Taifa anawasha Moto tu ila tumpe hongera Sana Lampard kujua kumtumia vizuri zile back pass sizioni tena kwake tangu aondoke sarri na kiwango chake Cha ukabaji umeongezeka.ukiangalia 70% ya magoal ya Chelsea jorginho amehusika before ya mtoa assist pass imekuwa imetoka kwa jorginho.sasa hiv nimekuwa naifuatilia Italy kwasababu ya jorginho I like the way he plays.
 
Another Kepa mistake I’m hearing? It’s becoming quite the norm. 3/4 mistakes already this season.

Jana hiyo

1-1
 
Jana Kepa kafanya mistake iliyopelekea kui cost Spain isipate point tatu. Alisababisha penalty.

Wapinzani watachukulia hili wataongea mpaka vidole vivimbe
 
torres na shenko ilikuwa funika bovu kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Sio kweli kwamba usajili mkubwa Chelsea anakosea mfano jorginho,osca,willian,hazard,malouda,mata,costa,fabregas,Luiz mbona tumewasajili kwa pesa nyingi mbona walideliver
 
Hospitali ya Chelsea imeongeza mgonjwa mwingine. Kovacic kaumia naye. Lets enjoy Ross Barkley show

The international break effects.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom